Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na huyo rostam amekuwaje muiran mzee wakati ni mzaliwa wa tabora kama ilivyo mo itigi singida?
Kaka mbona kama mnachanganyana?
Mnazungumzia nativity or citizenship??
Maana kuna asili na kuna uraia.
Hasa hapo mnabishana nini??
Kama ni asili somali asili yao sio Kenya ni Somalia,Ethiopia,Djibout na Eritrea.
Kama uraia wapo raia wa kisomali ndani ya Kenya ila Somali sio kabila halisi la Kenya.
 
Kaka mbona kama mnachanganyana?
Mnazungumzia nativity or citizenship??
Maana kuna asili na kuna uraia.
Hasa hapo mnabishana nini??
Kama ni asili somali asili yao sio Kenya ni Somalia,Ethiopia,Djibout na Eritrea.
Kama uraia wapo raia wa kisomali ndani ya Kenya ila Somali sio kabila halisi la Kenya.
tulianzia kwenye citizeniship akawakataa kwetu sio raia basi na kwao nikamwambia hao somali sio wakenya karuka kimanga sasa nikawa namtega kama si asili basi na hao pa si asili akaruka tena yaani kwao wasomali ni raia na pia asili ni wakenya hii imeshiba ugali leo nahisi maana kwa upande wake kwetu anakataa ila kwao iko sawa.
 
Don't get this twisted. Kenyan (mkenya) is a nationality, just the same way Tanzanian(mtanzania) or ugandan. Somali or Arab, on the other hand, are races. Just the same way Kuna Arab Kenyans or European Kenyans Kuna pia Somali Kenyans.

Wewe unaongelea 'pure' Sukuma Arabs which is is laughable and stupid at the same time. Hivi, hujui kwamba intermarriage ikishanyafika between two different races, then there's nothing pure about the offsprings? Did you study biology in high school?

Wewe ni mjinga wa mwisho and I don't have any appoligies to make coz you truly are a stupid person
Huu ni upuuzi wa kinyang'au.
 
Mombasa city
FB_IMG_1707503381631.jpg
 
Thank God umesema ukame, a natural occurance. But just to let you know, just Google the word'nyama choma' uone ni nchi gani itatajwa wa kwanza. Kenya is synonymous with nyama and you won't change that fact hata ulie machozi ya damu
😂😂😂 We jamaa kweli ni chizi eti sijui nyama choma sijui vitu gani😂😂😂 hii mada mnairudisha tena eeh.? Haya tell us ni nyama kiasi gani mna export.?
 
Back
Top Bottom