Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa karne hii unatuonesha barabara. Are you stupid or something? Tupo kwenye dunia ya AI, road is a basic need for everyone. 😀 😀 😀 😀
1707534290747.png
 
Sasa hii ina uhusiano gani na hii thread or inakonekt vipi na mambo ya Tanzania ama Kenya?

cc Active Bridger Cookie Diversity Maxence Melo Mhariri Moderator Paw Payge

Kwanini huyu troll "ChoiceVariable" hapewi permanent ban, ukizingatia historia yake ya ban na spamming?
Hao uliowa tag wanamuona Bumunda 😂😂.

Kuna story nyingi tuu kwenye Uzi huu hazihusiani na heading eg mnapojadili mambo ya vita za Palestine vs Israel, Ukraine vs Russia ,mara mnabishan kuhusu Marekani na China etc.

Unazeeka vibaya.
 
Anaenda kwa papa Francis? Papa Benedict XVI na John Paul II walikuwa hawana tatizo na mtu, huyu anasema waafrika ni wanafiki kwa kutokuwakubali mashoga. Kazi ipo.
Kwa hiyo nyie RC mnasemaje? Nafasi nzuri hiyo Kwa Rais kielezea msimamo wa Tanzania na Africa Kwa masuala hayo.

Anaenda kuwasemea Hadi Wakunya kule 😁😁
 
Huu ni upumbavu Zanzibar na Dar kuna umbali gani?

Sishangai lakini JPM ALIANZISHA HUU MCHEZO!
Mwaka juzi 2021 ilikuwa Waanzishe Tawi la Ocean road Cancer Institute Mbeya na kwenye budget ya Wizara iliwekwa lakini imeyeyuka mazima.

Huyo labda analipa fadhila Kwa kuwa kule ukweni ambako ni kwao wanajenga Muhimbili nyingine 🤪🤪
 
Back
Top Bottom