Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Juzi ulikuwa salesman wa supermarket. Leo wewe ni muuza mbuzi? Kesho utakuwa muuza nini?π€£π€£π€£ππ€£.Mzee wa real data ππππ kaokota tu huko sijui nani kaandika Halafu kaleta. ππππ Kwa mimi muuza mbuzi nafurahi kuona hii. My dear sister or brother Tanzania nyama ni kama basic need mzee, nyama inaliwa mno nchi nzima, sio kaskazini, mashariki, magharibi wala kusini. Tz ndio nchi inaongoza kwa kufuga top three in Africa.
I think you are just jobless guy trying to find where he can fit into. Tafuta hata baiskeli upige nayo boda bro.