Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania tupo unique sana na the rest of Africans, tunaongea lugha yetu wenyewe tuliovumbua kiswahili, tulikua na ujamaa kind of mode of production tulioivumbua wenyewe, tunaimba music wetu wenyewe tuliovumbua bongoflava etc etc

Na tuna roofing design yetu wenyewe ambayo saivi Uganda wanaiiga kwa kasi sana na Rwanda na Kunyaland wameanza kuivamia baadae waseme ni identity yao sababu huwa yanasubiri tunakuza kitu chetu baadae yaje kukiclaim 🚮

Dodoma outskirts ina mijengo ya adabu kuliko Runda

View attachment 2894735
Hii maneno ya paa hata Nigeria ipo!

View: https://youtu.be/hNGhWdwkGks?si=qiv_zeT9DzYS9Rak

View: https://youtu.be/FHCGmavhO2M?si=sDhFVsCLDNBJ2ME7
 
Watanzania tupo unique sana na the rest of Africans, tunaongea lugha yetu wenyewe tuliovumbua kiswahili, tulikua na ujamaa kind of mode of production tulioivumbua wenyewe, tunaimba music wetu wenyewe tuliovumbua bongoflava etc etc

Na tuna roofing design yetu wenyewe ambayo saivi Uganda wanaiiga kwa kasi sana na Rwanda na Kunyaland wameanza kuivamia baadae waseme ni identity yao sababu huwa yanasubiri tunakuza kitu chetu baadae yaje kukiclaim 🚮

Dodoma outskirts ina mijengo ya adabu kuliko Runda

View attachment 2894735

It seems like DODOMA is for them middle class and Rich ones, kila mtaa una mijumba ya maana,
Maskini wote walihamishwa.?
 
Naona Dar is slum yote hapa. From kijiko ya nyama to PostaView attachment 2894033
lol
dar 1.jpg
 
Watanzania tupo unique sana na the rest of Africans, tunaongea lugha yetu wenyewe tuliovumbua kiswahili, tulikua na ujamaa kind of mode of production tulioivumbua wenyewe, tunaimba music wetu wenyewe tuliovumbua bongoflava etc etc

Na tuna roofing design yetu wenyewe ambayo saivi Uganda wanaiiga kwa kasi sana na Rwanda na Kunyaland wameanza kuivamia baadae waseme ni identity yao sababu huwa yanasubiri tunakuza kitu chetu baadae yaje kukiclaim 🚮

Dodoma outskirts ina mijengo ya adabu kuliko Runda

View attachment 2894735
Aisee hii Dodoma mbn inakuja kwa hasira sn, hizi residential na hiyo roofing style ni ya adabu mnoo, hii Dodoma inachapa nairobi soon, ukitoa cbd nairobi ni uharo uliooza huwezi kufananisha na Dodoma 😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
 
Ktk hiyo miji miwili Kuna mmoja unaishi wazungu wengi na mwingine wachawi wengi
 
Aisee hii Dodoma mbn inakuja kwa hasira sn, hizi residential na hiyo roofing style ni ya adabu mnoo, hii Dodoma inachapa nairobi soon, ukitoa cbd nairobi ni uharo uliooza huwezi kufananisha na Dodoma 😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
Dodoma ni kubwa kinoma mitaa yote mipya hayo majumba unaona ni 5km to 20km from the city center.
 
It seems like DODOMA is for them middle class and Rich ones, kila mtaa una mijumba ya maana,

Maskini wote walihamishwa.?
Kaka Dodoma ni kisanga, wale watu sijui ni pesa ya fidia za miradi waliopisha maeneo yao ndio wanafanyia hizi kufuru sijui ni nini!

Back
Top Bottom