Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mradi wa nyumba 3500 za watumishi, hizi sio zile za Iyumbu wala Ilazo wala Mtumba hii ni Nzuguni ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Screenshot_20240205-140809~2.png

Screenshot_20240205-140704~2.png
Screenshot_20240205-140720~2.png
 
Nisisikie tena kelele za Konza wala Tako city, Dodoma size yake ni Nairobi huko kwenu kama tutaondoa ma slums na vile vi apartments vya kizamani walivyojenga wazungu vyenye bati nyekundu juu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Eastlands pekee is better than Dar is a slum.

View: https://youtu.be/_aoI14xrMu4?si=pes_hjOEwsNWhfac&t=2

Tofauti ya Tanzania na Kenya ni kwamba vimiji vyenu ni vidogovidogo, utashangaa hapa unataja cjui cbd cjui kilimani cjui upperhill, lkn uhalisia ni mji mmoja sawa na mm nianze kusema kuna Msimbazi, Karume na Gerezani, kwa wewe usiyejua unaweza kushangaashangaa ila kiuhalisia hiyo ipo sehemu moja inayoitwa Kariakoo
 
Unajua kuna google earth na tunaweza pima popote unataka. Eastleigh bila kuhesabu airbase is twice as big as Kariakoo and its environs. ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

Screenshot 2024-02-05 163614.jpg

Screenshot 2024-02-05 163106.jpg
 
Unajua kuna google earth na tunaweza pima popote unataka. Eastleigh bila kuhesabu airbase is twice as big as Kariakoo and its environs. ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

View attachment 2895148

View attachment 2895149
Wakuu ongeeni nyie me siongei mana cku hizi wakenya kinachowasumbua ni inferiority complex, kaweka picha mwenyewe, so mpeni jibu huyu mkundustan me simo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom