chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
π π π π π π slum estate
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1754088896692969541?t=K31wAiIyacJOQvtKYLNK8Q&s=19
Wana slum inaitwa matharau? πππ
π π π π π π slum estate
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1754088896692969541?t=K31wAiIyacJOQvtKYLNK8Q&s=19
Jitetee na hii ππ2021-2014 =7 years
Hesabu rahisi kama hio inakushinda. π π π
Naona Dar is slum yote hapa. From kijiko ya nyama to PostaNaona wetsland naona CBD naona kilimani naona upperhill au sio kweli??π€£π€£π€£π€£π€£
Unamaanisha wale ombaomba wenu waliovamia mitaa zetu kama nzige ama?According to who? Ingekuwa hivyo msingekuwa na njaa, ingekuwa hivyo msingekuwa omba omba wa kila kitu π€£π€£π€£π€£
Nini kipya mnaweka huku bongolala? Niwekee kitu chochote kipya hapo Jiji la uswazi ambacho halijawahiweka hapa nioneUyo kama kawaida mzee wa apartments na picha zake hizo hizo kila mwaka, watu tunazidi kuendelea kwa kuweka vitu vipya vya kisasa yeye daily ni picha hizo mpaka Dodoma imeanza ku beat nairobi kwa hivi vijumba yeye bado anavyo tu π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Those are not imported cars bongolala. Those are cars on auction. Get the difference kilaza wa TandaleHizi gari za 2013 mnazosema hazipo Kunyaland? πππ
View attachment 2893959View attachment 2893960View attachment 2893961
Hujajibu swali kijana wa TandaleHeee kweli kuna funza vichwani mwenu, hebu tafuta FORCE INTERVENTION BRIGADE (FIB) MONUSCO.
Kimanzi ni mkoa wa pwani.Dar nzima ni uswazi bongolala. From Tandale, Mazense, Buguruni, Gongo la mboto, Tandika, Vingunguti, Buza, Temeke, Tabata, Kimanzi, Mwananyamala, Makumbusho na maeneo mengine meeengi yote ni makazi mabovu
Bro Tanzania sio Kenya, huku hakuna slums hata ulie, haturuhusu slums, kweli kuna baadhi ya sehemu kuna unplanned settlement kama maeneo mengine ya Afrika lkn hatuna slums piga ua.Dar nzima ni uswazi bongolala. From Tandale, Mazense, Buguruni, Gongo la mboto, Tandika, Vingunguti, Buza, Temeke, Tabata, Kimanzi, Mwananyamala, Makumbusho na maeneo mengine meeengi yote ni makazi mabovu
Mnashinda tu hapa mkisema 'imevunjwa', mara inarekebishwa na picha hakuna.Kimanzi ni mkoa wa pwani.
Temeke kunarekebishwa,Tandika kumevunjwa kunajengwa upya sasa hivi,Makumbusho hakuna makazi mabovu,mwananyamala kunakarabatiwa kila leo.
Buguruni,Tandale na Manzese nakubali bado kubovu.
Gongo la mboto sio kubovu bali ni mji mkongwe.
Pole sana kijana
Ni leo tu nilikuwa najiuliza ulipotea wapi. Welcome back broUmeanza vijembe mapema hivi
Of course hamna slums. That will make you sleep well tonightBro Tanzania sio Kenya, huku hakuna slums hata ulie, haturuhusu slums, kweli kuna baadhi ya sehemu kuna unplanned settlement kama maeneo mengine ya Afrika lkn hatuna slums piga ua.
Pole basi. That's a friendly welcome, you know I usually enjoy discussing with you. πUmeanza vijembe mapema hivi
World Bank is saying otherwise ππ. According to World Bank 41% of Tanzanians live in slums.Bro Tanzania sio Kenya, huku hakuna slums hata ulie, haturuhusu slums, kweli kuna baadhi ya sehemu kuna unplanned settlement kama maeneo mengine ya Afrika lkn hatuna slums piga ua.
I haven't even mentioned Kibera ila wewe ushakuja na povu zako.Hvi ww unajua kwann kibera inatambulika kua ndio largest urban slum on earth unajua sababu ni nn???π€£π€£π€£π€£π€£
Au tukufundishe ????
Atakuambia data za kupikwa kisha ataje satellite kuwekwa angani kutafuta slums πππππWorld Bank is saying otherwise ππ. According to World Bank 41% of Tanzanians live in slums.