Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Dawa ya bongolalas ni YouTube.
Dar is a slum imejengeka eneo ndogo sana. 👇 👇 😂 😂
View: https://youtu.be/t41r4_cfmJM?si=U-NHiSTbJYCASyFt
Eastlands alone imetosha kurival the Dar is a slum 👇👇 No Westlands, No Kilimani, No major part of CBD, No Upperhill, No Mombasa road area in this video.
View: https://youtu.be/_aoI14xrMu4?si=vlmlgsUNr9Iuaqwk
Hii Karen mbona imeparara hivi? Alafu tunaambiwa ndiyo sehemu yao kali kuliko zote na ina barabara za vumbi, wallahi I would prefer Masaki than this rubbish.Imagine Karen nayo ina share yake ya slums 😂😂😂😂 na fancy roads, slums ni kama chumvi kwenye chakula huko Kunyaland, hakuna mahali inakosekana 😅
View attachment 2894623
Hii ni slum ndio, we huoni hayo majengo kama mji ulioathirika na vita.I give up on you. Wewe tutashinda hapa tukikimbizana for nothing. Yani nakupa hadi picha na bado unabisha?
Nyingine hii hapa. Soma maandishi kwenye hiyo perimeter wallView attachment 2894512
Alafu sijui kwanini wakenya sound yenu imekaa kishamba, yani huu muandiko wako nachukulia kama unaongea, yani kizembe zembe sn imekaa ki lazy lazy sn. Me nawaambia wakenya muwashukuru sn foreigners angalau mkajengewa vijumba viwili vitatu, la sivyo haki ya mama comoro ingekuwa na afadhali.More still coming. Left, right, back, front; everywhere you look in Nairobi is a busy construction site
View attachment 2894628
Sasa nicxie we huoni kama hii ni slum? Hayo majengo yanatakiwa kuvunjwa yote, kwanza ni hatari kwa usalama wa raia pili yana muonekano mbaya, ni kama nyumba za enzi ya mfalme herode.I give up on you. Wewe tutashinda hapa tukikimbizana for nothing. Yani nakupa hadi picha na bado unabisha?
Nyingine hii hapa. Soma maandishi kwenye hiyo perimeter wallView attachment 2894512
Ukiipekua vizuri kuna miozo zaidi ya huu 😅😅Hii Karen mbona imeparara hivi? Alafu tunaambiwa ndiyo sehemu yao kali kuliko zote na ina barabara za vumbi, wallahi I would prefer Masaki than this rubbish.