chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,692
- 45,960
Utashangaa analinganisha na ushuzi mmoja wa tako city, tako city ina zaidi ya miaka 20 inajengwaga tu wakati hizi outskirts zote kali za Dom hata miaka minne hazina zimeibuka tu juzi kati hapo, Kichaa mmoja alete outskirt ya tako city kama hii!Aisee hii Dodoma mbn inakuja kwa hasira sn, hizi residential na hiyo roofing style ni ya adabu mnoo, hii Dodoma inachapa nairobi soon, ukitoa cbd nairobi ni uharo uliooza huwezi kufananisha na Dodoma 😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥