Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili eneo umepost hapo ni 0.00003 ya eneo lote la Temeke my dearest sister or brother . Temeke ndio eneo ambalo hamjawahi kuliona humu ndani kabisa, there's no single photo showing Temeke in here. Leo nitakupa elimu ya Temeke, first of all Temeke ni municipality .. Mkapa stadia and all the soroundings kwenye hii picha are within Temeke 👇View attachment 2894162temeke View attachment 2894164
fc4a525021-11-17-jpg.2894165
Temeke is larger than Nairobi by size. 😂😂😂 It also has different neighborhoods From rich ones to them poor people. Apartments, and some estates.
So what exactly is your point? Because your colleague had dismissed that Temeke doesn't have uswazi.
 
Kwahiyo mtuombee sisi wenye jnhpp? Utakuwa unaumwa wewe, hizo shida ni za muda mfupi, baada ya mwaka huu itakuwa ni history, itabaki kwa viongozi kuhakikisha hatukosi umeme, kama wanapiga basi kifo chao ni kukamilika kwa jnhpp ambayo ni 2115MW, kilichobaki ni kuwauzia umeme, na tayari kuna order kutoka SA na Kenya mtake msitake lazima tuwauzie umeme, so tutazidi kuwatawala kiuchumi, thats why kila tunachotaka serikali yenu inafanya mana cc ndiyo tunautawala uchumi wenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
There are so many green nets down there my little sister or brother. 😂😂😂 Nilipita hapo last two months nilisimama somewhere sikua na muda wa kutosha I was only able to take that photo.
Hiyo picha Moja ndio ilikuwa.😂😂🤣
 
Nyumba ikishanunuliwa na matajiri hao masikini huenda kusini kuendeleza uswazi huko.

Assuming what you are saying is true, hebu tupe picha ya hizo plazas na nyumba mpya yaliyojengwa Mwananyamala for instance. I would prefer an aerial photo.

Secondly, ningependa pia kuona picha za mass demolition of uswazi hovels in those places to pave way for decent houses.
Wewe tunajua unaumizwa sn na uwepo wa ma slums nairobi, you wish Tanzania pia ingekuwa na ma slums kama Kenya sema ndo haiwezekani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hili eneo umepost hapo ni 0.00003 ya eneo lote la Temeke my dearest sister or brother . Temeke ndio eneo ambalo hamjawahi kuliona humu ndani kabisa, there's no single photo showing Temeke in here. Leo nitakupa elimu ya Temeke, first of all Temeke ni municipality .. Mkapa stadia and all the soroundings kwenye hii picha are within Temeke 👇View attachment 2894162temeke View attachment 2894164
fc4a525021-11-17-jpg.2894165
Temeke is larger than Nairobi by size. 😂😂😂 It also has different neighborhoods From rich ones to them poor people. Apartments, and some estates.
Bigger than supreme Court pale Ukunyani!
 
Wewe tunajua unaumizwa sn na uwepo wa ma slums nairobi, you wish Tanzania pia ingekuwa na ma slums kama Kenya sema ndo haiwezekani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo Kibera slums huwa zinamuuma sana anatamani siku moja aamke akute zote zimehamia Tanzania. 😂😂😂
 
Hili eneo umepost hapo ni 0.00003 ya eneo lote la Temeke my dearest sister or brother . Temeke ndio eneo ambalo hamjawahi kuliona humu ndani kabisa, there's no single photo showing Temeke in here. Leo nitakupa elimu ya Temeke, first of all Temeke ni municipality .. Mkapa stadia and all the soroundings kwenye hii picha are within Temeke 👇View attachment 2894162temeke View attachment 2894164
fc4a525021-11-17-jpg.2894165
Temeke is larger than Nairobi by size. 😂😂😂 It also has different neighborhoods From rich ones to them poor people. Apartments, and some estates.
Eneo la Chang'ombe police hilo.
 
Huyo Kibera slums huwa zinamuuma sana anatamani siku moja aamke akute zote zimehamia Tanzania. 😂😂😂
Na ndo haiwezekani mana tayari Tanzania kuna mradi wa kuondoa unplanned settlement, tunaanza na jangwani, sijui watapata wapi picha mbovu za Dar 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom