The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Bora hiyo kuliko hii 👇👇🤣🤣👇 👇 😂 😂 😂 Ukiongeza ile CBD ya ghorofa tano kando ya barabara Dar is a slum inabaki bila kitu.
View attachment 2894442
Bora hiyo kuliko hii 👇👇🤣🤣👇 👇 😂 😂 😂 Ukiongeza ile CBD ya ghorofa tano kando ya barabara Dar is a slum inabaki bila kitu.
View attachment 2894442
All your rant is irrelevant… Nairobi is the 4th wealthiest city in Africa…behind Jozi, Cairo and Lagos…. So your argument is like crying over spilled milk….it’s unnecessary….😂😂Nyang'au wanateseka sana kuona wanaongoza kuwa na slum kubwa Africa nzima.
Pole utaumia sana na vipicha vya 20 years ago. 😂 😂 😂 👇 👇 Ukipata Eastleigh kwa hio picha nitag nifunge account sahii.Bora hiyo kuliko hii 👇👇🤣🤣View attachment 2894446
Halafu wanajifanya kuongea kizungu cha ugoko. Yaani wana slum kubwa zaidi Africa nzima kwenye mji wao mkuu; khaa hata aibu hawaoni.All your rant is irrelevant… Nairobi is the 4th wealthiest city in Africa…behind Jozi, Cairo and Lagos…. So your argument is like crying over spilled milk….it’s unnecessary….😂😂
Umepanic ?…. Let that sink in… 4th wealthiest city….Halafu wanajifanya kuongea kizungu cha ugoko. Yaani wana slum kubwa zaidi Africa nzima kwenye mji wao mkuu, khaa hata aibu hawaoni.
Nyang'au mtoto hata usemeje hiyo haibadilishi kitu.Umepanic ?…. Let that sink in… 4th wealthiest city….
Kusini nyumba hujengwa kwa mipangilio.
Viwanja siku hizi vinapimwa hununui kiholela.
Unapoona hapo kote kumejengwa basi kulibomolewa kulikua na nyumba chakavu.
Alafu wewe pia ukaamini kwamba hizi picha mbili ni za Dar? 😂😂Aerial view.
Halafu Temeke ni kubwa sana
Mzee unaishi fantasy 😂😂😂 what's the GDP of Nairobi I want to tell you something Iko toboa hata top 20 wealthiest cities in Africa nafunga account now.All your rant is irrelevant… Nairobi is the 4th wealthiest city in Africa…behind Jozi, Cairo and Lagos…. So your argument is like crying over spilled milk….it’s unnecessary….😂😂
Kwan hii ni mathare gani?
Filter kibao lakin uhalisia ndo huu...
Na watu ni maskini sana wako wanaomba dollar 1 ili wale. Watoto wanachezea kwenye madampo. Single mother kama wote
Hawa wametembea saa zima ndani ya slum na hawajamaliza yote kote ni mabanda na nyumba za mabati..
View: https://youtu.be/SpFKpxupOeM?si=ll20cuwi9GermSrZ
Kwa nini unapenda kujidanganya?Kwa hivyo hata kusoma hujui? Kwenye hii picha huoni ukuta wa hiyo nyumba on the bottom right imeandikwa Mathare North?
View attachment 2894504
Nyinyi endeleeni kuimba wimbo wa slums wakati baadhi ya hizo slums are a million times better than your uswazi hovels
I can't wish anything on a glorified fishing village like your yours with uswazi hovels everywhereWewe tunajua unaumizwa sn na uwepo wa ma slums nairobi, you wish Tanzania pia ingekuwa na ma slums kama Kenya sema ndo haiwezekani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I give up on you. Wewe tutashinda hapa tukikimbizana for nothing. Yani nakupa hadi picha na bado unabisha?Kwa nini unapenda kujidanganya?
Naona umeanza kudata.Alafu wewe pia ukaamini kwamba hizi picha mbili ni za Dar? 😂😂View attachment 2894494View attachment 2894496
Is up to youI still don't buy this. Doesn't make sense at all
Yaani unataka kutuaminisha kuwa hakuna slums huko naipori sio. Mbona unaanza kuchekesha sasa?I give up on you. Wewe tutashinda hapa tukikimbizana for nothing. Yani nakupa hadi picha na bado unabisha?
Nyingine hii hapa. Soma maandishi kwenye hiyo perimeter wallView attachment 2894512
Hizo ghorofa zina choo, bafu na jikoni ndani ya nyumba, sio kama uswazi za dar is a slum, jikoni, choo na bafu ziko nje tena bila paa. Tabia yenu ni kuchungulia wanawake uchi wakioga. 😂 😂 😂 😂 😂Maghorofa ht plaster hayajapigwa??
Maghorofa mengine yamejengwa kwa mabati.
Ndio maana majengo huwaangukia.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Hizo ghorofa zina choo, bafu na jikoni ndani ya nyumba, sio kama uswazi za dar is a slum, jikoni, choo na bafu ziko nje tena bila paa. Tabia yenu ni kuchungulia wanawake uchi wakioga. 😂 😂 😂 😂 😂