Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni new import inauzwa huko Tanzania. It's a 22yr old car😂😂😂🤣
Screenshot_20240204-162010.png
Screenshot_20240204-162348.png
 
Mnashinda tu hapa mkisema 'imevunjwa', mara inarekebishwa na picha hakuna.

Secondly, zinarekebishwa na nani wakati hizo nyumba zinamilikiwa na watu binafsi.

Secondly, when you bring down houses in an entire residential area like buguruni or gongo la mboto to build new houses, where do these people seek refuge during this time? Mnatuona wajinga sana nyie
We kijana unachekesha.
Nyumba hununuliwa na matajiri wanaojenga nyumba za kupangisha na Plazas.
Hao raia wakishapewa pesa wengi wao huamia njia ya kwenda kusini na njia ya morogoro road.
Na watu wa pale Jangwani walipewa viwanja Bunju.
 
Hiyo Tandika.
Tandika unageuka kuwa mji wa kibiashara.
Kila siku huvunjwa nyumba kujengwa maduka na plaza ndogo ndogo.
Ntakuletea na Temeke.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-04-16-33-21-54_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-16-33-21-54_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    64.1 KB · Views: 32
  • Screenshot_2024-02-04-16-34-28-40_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-16-34-28-40_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    78.5 KB · Views: 14
  • Screenshot_2024-02-04-16-33-42-58_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-16-33-42-58_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    109.4 KB · Views: 23
  • Screenshot_2024-02-04-16-32-56-32_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-16-32-56-32_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    80 KB · Views: 21
We kijana unachekesha.
Nyumba hununuliwa na matajiri wanaojenga nyumba za kupangisha na Plazas.
Hao raia wakishapewa pesa wengi wao huamia njia ya kwenda kusini na njia ya morogoro road.
Na watu wa pale Jangwani walipewa viwanja Bunju.
Nyumba ikishanunuliwa na matajiri hao masikini huenda kusini kuendeleza uswazi huko.

Assuming what you are saying is true, hebu tupe picha ya hizo plazas na nyumba mpya yaliyojengwa Mwananyamala for instance. I would prefer an aerial photo.

Secondly, ningependa pia kuona picha za mass demolition of uswazi hovels in those places to pave way for decent houses.
 
Hiyo Tandika.
Tandika unageuka kuwa mji wa kibiashara.
Kila siku huvunjwa nyumba kujengwa maduka na plaza ndogo ndogo.
Ntakuletea na Temeke.
I would prefer aerial photos. Secondly, the first two photos haina tofauti wowote na zile nyumba za uswazi
 
I would prefer aerial photos. Secondly, the first two photos haina tofauti wowote na zile nyumba za uswazi
Yale maduka kijana.
We umeona pale kuna nyumba chakavu???
Au kisa umeona miamvuli ya biashara?
Nakubali Temeke ilikua mbaya ila hurekebishwa kila uchwao.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-04-16-42-57-39_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-16-42-57-39_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    85.3 KB · Views: 24
  • Screenshot_2024-02-04-16-43-56-15_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-16-43-56-15_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    97.9 KB · Views: 23
Nyumba ikishanunuliwa na matajiri hao masikini huenda kusini kuendeleza uswazi huko.

Assuming what you are saying is true, hebu tupe picha ya hizo plazas na nyumba mpya yaliyojengwa Mwananyamala for instance. I would prefer an aerial photo.

Secondly, ningependa pia kuona picha za mass demolition of uswazi hovels in those places to pave way for decent houses.
Kusini nyumba hujengwa kwa mipangilio.
Viwanja siku hizi vinapimwa hununui kiholela.
Unapoona hapo kote kumejengwa basi kulibomolewa kulikua na nyumba chakavu.
 
I would prefer aerial photos. Secondly, the first two photos haina tofauti wowote na zile nyumba za uswazi
Aerial view.
Halafu Temeke ni kubwa sana
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-04-16-53-49-47_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-16-53-49-47_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    85.4 KB · Views: 17
  • Screenshot_2024-02-04-16-53-17-50_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-16-53-17-50_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    87.2 KB · Views: 29
  • Screenshot_2024-02-04-16-51-46-18_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-16-51-46-18_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    75.3 KB · Views: 27
  • Screenshot_2024-02-04-16-51-06-83_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-02-04-16-51-06-83_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    88.9 KB · Views: 16
I haven't even mentioned Kibera ila wewe ushakuja na povu zako.

Kila siku nasemanga hapa kwamba mtanganyika akidhashindwa kwenye hoja, he'll resort to mentioning Kibera and that's exactly what you've done. Keep going bongolala
Tatizo lako ukweli huutaki hakuna mahali utakwenda kokote duniani ukakuta dar kuna slum, hakuna na hutopata 🤣🤣🤣🤣🤣

Wewe zungukaaa lakini ukweli utabaki palepale most of worse slums ziko africa na top ten of them nairobi imeingia mara 6 kama sio saba kwa idadi kubwa ya slums za kutisha duniani 😅😅😅😅😅

Haya makazi hata ukimweka mbwa anaishi tanzania lazma afe usifanye mchezo, wazungu wanatoka kwao wanafunga safari badala kuja kushangaa wanyama maporini wanakuja kushangaa binaadamu wanavoishi
Screenshots_2024-02-04-16-55-51.png

View: https://twitter.com/HivisasaKibera/status/725571515375312896?t=O35NuANS-BPP6WNzrwoYXw&s=19

View: https://twitter.com/Cloud9Wallet/status/1106450000186433536?t=RAREEl7n2pURNlfCpHlIfA&s=19

View: https://twitter.com/newsheadlines7/status/811969509540171780?t=Eqj89VjVTytGtjsaR_2k2Q&s=19
 
Back
Top Bottom