Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukipata picha ya dandora iko unplanned hivi 👇 👇 nitag nifunge account.

Aerial View Of The City Of Dar Es Salaam Showing The Densely ...
Dandora ni mavi kushoto kulia, hakuna asiyejua kwamba Kenya inamiliki ma slums makubwa dunia hii, pambaneni muyapunguze japo haitawezekana leo wala kesho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
You can't prove it. For me I can prove that more than 70% of Dar is Slum residents live in slums
View attachment 2894332
Weka source ya habari yako kwamba Tanzania kuna slums mm nitakuwekea credible source from world bank kwamba Kenya inamiliki slum kubwa duniani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Weka source ya habari yako kwamba Tanzania kuna slums mm nitakuwekea credible source from world bank kwamba Kenya inamiliki slum kubwa duniani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Source from World Bank 🤣🤣😂🤣

 
Source from World Bank 🤣🤣😂🤣

Hiyo link yako sijaona sehemu imeandika Tanzania zaidi tu nmeona %of population living in urban areas au kama unaweza screenshot then tupia humu, msifosi tufanane 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom