Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
Sema tu network ndio shida hapo ulipo🤣🤣🤣🤣Hiyo link yako sijaona sehemu imeandika Tanzania zaidi tu nmeona %of population living in urban areas au kama unaweza screenshot then tupia humu, msifosi tufanane 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyang'au wanateseka sana kuona wanaongoza kuwa na slum kubwa Africa nzima.
So tone imechange from Tanzania hakuna slums to Kenya inaongoza kwa kuwa na slums kubwa😂😂🤣🤣Nyang'au wanateseka sana kuona wanaongoza kuwa na slum kubwa Africa nzima.
Halafu ukiwaomba waonyeshe stendi ya mji wao mkuu wanakuwa wakali kama pilipili.So tone imechange from Tanzania hakuna slums to Kenya inaongoza kwa kuwa na slums kubwa😂😂🤣🤣
Google earth haijawah kuongopa wala haijawah kuficha aibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Halafu ukiwaomba waonyeshe stendi ya mji wao mkuu wanakuwa wakali kama pilipili.
Kwahiyo unaamini kabisa Buguruni hakuna bank? Ngoja nikuoneshe Buguruni inafananaje alafu itabaki juu yako na upumbavu wako.Dandora has a better economy than uswazi za dar is a slum. 👇 👇 Buruguni slums in Dar is slum ikona bank gani?
View attachment 2894275
Hiyo inasema Tanzania the whole Tanzania.Source from World Bank 🤣🤣😂🤣
![]()
41% ni ya whole Tanzania, 70% ni ya Dar alone.Hiyo inasema Tanzania the whole Tanzania.
Pia hiyo report ni ya 2020 ikisema 41% sio 70%.
Mpaka sasa na ishashuka
We kweli umedata.41% ni ya whole Tanzania, 70% ni ya Dar alone.
DAR port inapokea 2.5 million tones monthly .. 😂😂😂hii ni habari mbaya sana Kwa jirani imagine 2.5 million × 12 months = 30 million tones tena hapo ikitokea kwamba hakutakua na ongezeko la mzigo. 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C27x7EOB0WH/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==. Yo it's our time
Mtumbua mishipa nimekuomba screenshot uoneshe wapi wamesema Tanzania au Dar kuna slum 🤣🤣🤣🤣🤣Wewe watchman nyamaza. Ndio maana unaficha pesa chini ya kitanda🤣
![]()
Kwan hii ni mathare gani?Pole bongolala.
Most parts of Mathare are a million times better than your stinking uswazi hovels spread all over DarView attachment 2893972View attachment 2893974View attachment 2893975View attachment 2893976View attachment 2893977
Sasa linganisha na zile uswazi hovels zenu zenye bati zilizoliwa na mchwa
I already told one of you that when it comes to housing and residential areas, mnafaa kutulia kama maji ya mtungi
Hao watu ni waongo sanaNa hii sio mathare au ni kitu gani??😅😅😅
Nani hajui kama mathare ni moja ya top 10 worse slums on planet au unataka ushahidi
View attachment 2894007