Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa Tanzania, kwenye sample ya magari 1000 unapata probox 1.
Ila Kunyalanda, kwenye sample ya magari 1000 unapata probox 900.
Unapiga kelele hapa wakati polisi wenu wanazurura na probox😂

1706341642205.jpg
 
Leo sina muda wa empty talks. 😂😂😂. Wali kwa kenya ni anasa 👇View attachment 2883787ni middle class pekee ndio wako na access ya kula wali. 😂😂😂😂
in kenya especially men dont even value rice.Its considered a ladies food ........afadhali hata uturingie na chapati.But rice surely na vile tz has low quality rice zile za kuiva kama ugali
 
in kenya especially men dont even value rice.Its considered a ladies food ........afadhali hata uturingie na chapati.But rice surely na vile tz has low quality rice zile za kuiva kama ugali
Uliwahi kula mchele wa Katavi,Morogoro na Mbeya.
Najua hamuwezi ugusa maana ni bei .
Mtamu una ladha ya asili sio kama hizo basmat mnazokula zenye ladha ya plastiki halafu mnauziwa bei.
Tafuta mchele wa Mbeya au Morogoro ule uone.
 
Halafu picha ameipiga karibu karibu tusione kitchen ilivyochoka
Just look at the wall and you will know the kind of house the guy stays in.

Number two the guy is complete kienyeji, ona vile amepakua food. How on earth do you start to cover the entire grains with meat? These things should be put next to each other, not on top.

Third, that rice is those of low grade. Ona vile imeshikana karibu ifanane na ugali😂
 
The rice I'm buying is more expensive than any rice produced in Tanzania.
Mchele kuuzwa bei inatokana na uzalishaji tu.
Mchele wa Morogoro mtamu kuliko basmati zozote unazozijua wewe ila basmat unauzwa bei kuliko wa Morogoro.
Kwahiyo bei kuwa chini haimaanishi mchele sio bora.
Unadhani Tz tunakula plastiki za Paistan na India kama ninyi??
 
China and US do not consider themselves fooballing nationas on the men's side. However, they are both very good in women's football and have won several trophies. Sasa nyinyi hapo mnajiita footballing nations na hamjwai shinda kitu. 😂
Kwa upande wa wanawake ni Japan ndie anaeongoza akifuatiwa na Spain.
Usitudanganye eti USA na China.
 
Mchele kuuzwa bei inatokana na uzalishaji tu.
Mchele wa Morogoro mtamu kuliko basmati zozote unazozijua wewe ila basmat unauzwa bei kuliko wa Morogoro.
Kwahiyo bei kuwa chini haimaanishi mchele sio bora.
Unadhani Tz tunakula plastiki za Paistan na India kama ninyi??
Michele ya Tanzania nilijaribu once na sijawainunua tena. First, it's non aromatic and two zinashikana. I don't like rice inakaa kama ugali.
 
Zubaa hapo na primary certificate Yako.
😂😂😂😂😂.
Mie siwezi leta cheti humu tutakimbiana aisee.
Maana nimesoma two professions moja nina advanced diploma moja nimerudi kuichukulia masters degree ndio nipo second year niko class now.
 
Back
Top Bottom