Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A Kg of Basmati rice is only 280 shillings. What makes you think I can't afford that? The low quality and cheap ones from Tanzania are 100 bob per kg. Mwea rice is 200 bob per kg, Ahero rice is 220 shillings per kg.
Leo sina muda wa empty talks. 😂😂😂. Wali kwa kenya ni anasa 👇
1706178144450.png
ni middle class pekee ndio wako na access ya kula wali. 😂😂😂😂
 
Tanzania ni ya Moto sana - Kenya Zero kubwa
View attachment 2883630


1. Makatibu Wakuu wa Vyama Sita Marafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, wakisaini Katiba ya Usimamizi na Uendeshaji wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS), eneo la Kwa Mfipa, Kibaha, mkoani Pwani, Tanzania.


Kuanzia katikati kwenda kulia ni Komredi Dk. Emmanuel John Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania), Prof. Marcelina Chijoriga, Mkuu wa Shule ya MJNLS, Komredi Francisco Mucanheia, mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Chama cha FRELIMO (Msumbiji) na Komredi Fikile Mbalula na Katibu Mkuu wa ANC (Afrika Kusini). Kuanzia kwa Dkt. Nchimbi kwenda kushoto ni Komredi Obert Moses Mpofu, Katibu Mkuu wa Chama cha ZANU- PF (Zimbabwe), Komredi Sophia Shaningwa Katibu Mkuu wa Chama cha SWAPO (Namibia) na Komredi Manuel Domingos Augusto, mwakilishi wa Katibu Mkuu wa MPLA (Angola).

2. Makatibu Wakuu wa Vyama Sita Marafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, wakionesha nakala ya Katiba ya Usimamizi na Uendeshaji wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS), baada ya kutia saini, eneo la Kwa Mfipa, Kibaha, mkoani Pwani, Tanzania.
I think Kenyans really need to send their leaders and would be leaders to Julius Nyerere Uongozi institute ili wapate maadili mazuri ya uongozi wa kizalendo waache kuwa machawa wa Westerners na kuacha corruption.
 
M

Mashindano ya timu za taifa Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani.
Unajifanya mfuatiliaji mpira kesha CHAN huijui kama ni AFCON ndogo?
Najua ball and that doesn't mean that I should also know village tournament. From what I can gather that tournament qualification was played by unknown people. Was Olunga in the squad? What about Wanyama? Eric Ouma was there? What about Okumu? Was Timbe there?
 
Rice is a food of prisoners.
View attachment 2883796
. Chakula ya jela ni ugali sukuma and prisoners in there are treated like pigs.. 😂😂😂😂 👇
prison-and-rehab.jpg
image(0).jpg
😂😂😂😂😂 umeona hiyo mboga wafungwa wanakula huko kwenu, hata mbwa koko huku bongo hawezi kupewa hivyo.
 
Najua ball and that doesn't mean that I should also know village tournament. From what I can gather that tournament qualification was played by unknown people. Was Olunga in the squad? What about Wanyama? Eric Ouma was there? What about Okumu? Was Timbe there?
Hujui mpira.
Chan huwezi ukabeza kuita ni mashindano ya kishamba ilhali inashindanisha wachezaji pro katika ligi kuu za ndani.
Hio inajulisha hamuna wachezaji.
Tanzania wachezaji wa ndani tu tishio.
Mwamnyeto,Baka,Lusajo mwaikenda n.k n.k.
Hiyo inajulisha hamuna ligi bora.
 
Hujui Kingereza, hujui Chemistry, hujui Physics and now you are embarrassing yourself on mathematics.

I said 1kg of rice ranges from 280-200 except for cheap, low quality from Tz which is 100. Now from your screenshot, if you divide 550 which is 2kgs by 2what do you get?
 
Kati yangu na wewe mwenye anashangilia kukula rice who is embarrassing himself?😂😂😂
Ugali ni chakula cha wanyama. Angalia nchi za watu wenye akili hawali Ugali mzee. Wanakula vyagula vya ngano au mchele.

Ugali unapunguza uwezo wa kufikiri. Ndio maana Kenya mnaandamana ovyo kama wanyama. 🤣 🤣 🤣
 
. Chakula ya jela ni ugali sukuma and prisoners in there are treated like pigs.. 😂😂😂😂 👇View attachment 2883810View attachment 2883812😂😂😂😂😂 umeona hiyo mboga wafungwa wanakula huko kwenu, hata mbwa koko huku bongo hawezi kupewa hivyo.
Kenya people change diet, ama ulitaka wakule rice kila siku? For your information Kenyan prisoners also eat meat.

Screenshot_20240126-211923.png
 
Hujui mpira.
Chan huwezi ukabeza kuita ni mashindano ya kishamba ilhali inashindanisha wachezaji pro katika ligi kuu za ndani.
Hio inajulisha hamuna wachezaji.
Tanzania wachezaji wa ndani tu tishio.
Mwamnyeto,Baka,Lusajo mwaikenda n.k n.k.
Hiyo inajulisha hamuna ligi bora.
Ingekuwa wachezaji wenu ni tishio hamngekuwa bottom kwa pool yenu.
 
Ugali ni chakula cha wanyama. Angalia nchi za watu wenye akili hawali Ugali mzee. Wanakula vyagula vya ngano au mchele.

Ugali unapunguza uwezo wa kufikiri. Ndio maana Kenya mnaandamana ovyo kama wanyama. 🤣 🤣 🤣
Which animal eats Ugali as an important food to them?
 
Back
Top Bottom