Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This much starlink satellites

View: https://www.instagram.com/reel/C2jsGtkx5jB/?igsh=MXYyZGJ6OTczcGR6ag==

Vs African countries where starlink is available

IMG_7961.png
 
The fact that you brag about Ghana opening an assembly plant rather than asking yourself why not you opening it in Ghana
Kuna faida wao wakifungua kwetu kuliko sisi tukifanya uwekezaji kwao.
1)Mapato yataongezeka kulingana na kodi ya uwekezaji wao.
2)Ajira zitazalishwa kwa raia wa Tanzania.
 
Hizo Probox wanabebea mifugo na mazao vijijini huko.
Mjini wafuga kuku wanapelekea machinjio.
Na unazikuta kwa kuhesabu.
Ila Kenya probox mnazipenda sana hata tamthilia zenu hamkosi kuziweka.
Oi wazee, aaah!! Punguzeni vipigo basi, au kama mnawapiga wachapeni hata miguuni, huko vichwani mtawaua sasa. Mana hata wanavyoandika havieleweki na hyo ni dalili ya majeraha ndani ya ubongo. Wengne sio kama wamekimbia humu jukwaani. Wamepata stroke kwenye mikino kwa7bu ya vipgo vya kichwani. WAZEE DOZE DOZE... MTAUWAAAA
 
Wewe si unasema umesemo Microbiology!?
Unashindwa vipi kujua vyakula vinavyojenga ubongo?
Je, Israel wanakula Ugali? What about Scandinavia Countries wanakula ugali?
Check Nchi za Asia na Marekani.
Huko USA mahindi yanalimwa kwaajili ya kulishia Ng'ombe. 🤣 🤣 🤣 🤣
Hawa wanapenda kuiga wazungu kwenye kila kitu ila walipofika kwenye ugali wakashindwa usicheze na ugali mkuu 🤣🤣🤣
Hawa pia huwa wanafanya mashindano ya ugali kama vile wazungu wanavyofanya mashindano ya ku roll cheese downhill ila wao wanatumia Ugali.
 
You don't know what a balanced diet is. It's not a must that you must all these food at a go ndio useme ari umekula balanced diet. If you eat ugali and greens that's a balanced diet for that day, tomorrow if you eat beans and milk that's not a balanced diet cause are proteins. If you eat
Acha kupotosha watu kwa kutetea upumbavu wako we are not ignorant like you we know what a balanced diet looks like so dont try to pull us down to your level of stupidity and beat us at your own comfort zone.
 
Back
Top Bottom