Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
The way you are celebrating eating rice here I doubt if you are okay upstairs.Tanzania kabla ya uhuru tulikuwa tunakula Wali na ngano tu.
Mahindi tulianza kula miaka ya 80s baada ya vita vya Tanzania na Uganda. Tena tulipata mbegu za mahindi ya Yanga kutoka USA.