Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Which Tanzanian team ishaitabeba hiyo conference?😂Ukitizama historia utafeli we kijana.
Barcelona asa hivi katika ranking iko chini ya manchester city kwasababu ya current performance.
Gormahia hilo kombe alilobeba lina hadhi ya tatu yani sawa na uefa conference league kombe wanaoshiriki ligi daraja la pili ulaya.
Makombe ya kiume Caf champions league na Caf confederation cup .
Je Gormahia ya ngapi katika rank ya hilo kombe??