Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Image
Nchi nzima ya kenya imepata habari mzee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanzania will have 4 CAF standards stadiums for AFCON 2027 mkapa, Aman, Arusha and Dodoma while Kenya will have one renovated Kisirani na UG will have one renovated Nakivubo.
Most teams will be based in Tanzania where opening and final games will be played.
CAF wana vigezo vyao kuhusu hii michezo kwanza muamko wa kupenda football watu wawe na uwezo wa kujaza uwanja ambapo Tanzania has proven that times and time again, pili transport convenience ambapo Tz kuna BRT orderly transport, Tatu Hotels za hadhi ya juu kwa delegates na mashabiki toka sehemu mbalimbali duniani, nne hospital za viwango vya juu katika kutoa huduma, tano shirikisho la mpira liwe active member wa CAF, sita ubora wa ligi husika na ushindani wa hali ya juu kwa club za ndani etc.

Sasa kwa hali hiyo nadhani unaweza uka deduce kuwa opening na finals zitafanyika nchi gani hapa EA.
Kuna kitu umesahau mkuu pale ulipoongelea transport service ya Tanzania.....
l-intro-1668566527.jpg
 
Mkuu coodip1 kula diko kama hili hapo kenya ni anasa kaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 2882442ukimuona mtu kenya anakula kama hivi ujue huyo ameshajipata kaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu hii Tanzania ni Eden kwa raia wa nchi zingine Afrika, yani watanzania wanaoenda nchi za wenzetu huko lazima wabebe chakula kaka
 
Haya wale wanaobeza viwango vya mpira wa Tanzania watuambie hapa wao ni wa ngapi?
 
Back
Top Bottom