Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Je unaijua hii

1 July 1960

On 26 June 1960, the British Somaliland protectorate gained independence as the State of Somaliland. Five days later on 1 July 1960 Somaliland officially merged with the Trust Territory of Somalia to create the Somali Republic (Somalia).
Najua zaidi ya hapo.
British Somaliland ndio ili gain independence june 1960.
Na Italian Somaliland ili gain independence july mosi 1960 ku form Somalia republic.
Ila je wafaham yalitokea yapi mpaka hao watu hawakuweza kuungana chini ya bendera moja?
 
Ndio maana ninakwambia huijui Geopolitics. Unaongea vitu kwa hisia tu.

Kama huijui conflict ya Egypt na Ethiopia unapata wapi nguvu ya kuongelea relationship ya Somaliland na Ethiopia. Also Egypt na Somalia?

Huku unamkandia Elsisi wakati ndiye aliye wabana kend2 Ethiopia?

Njoo na taarifa za uhakika na uijue Egypt vizuri.
Naijua Egypt sana tu.
Kutokujua uhusiano wa Elsisi na Somalia hai justify kusema kuwa sifaham kuhusu Egypt.
Nilipojikita mimi ni kuijua Egypt na migogoro ya Middle East.
 
Najua zaidi ya hapo.
British Somaliland ndio ili gain independence june 1960.
Na Italian Somaliland ili gain independence july mosi 1960 ku form Somalia republic.
Ila je wafaham yalitokea yapi mpaka hao watu hawakuweza kuungana chini ya bendera moja?
Somaliland inatambuliwa na Taiwan tu. Endelea kujipa moyo kijana toka Somaliland.
 
Naijua Egypt sana tu.
Kutokujua uhusiano wa Elsisi na Somalia hai justify kusema kuwa sifaham kuhusu Egypt.
Nilipojikita mimi ni kuijua Egypt na migogoro ya Middle East.
Mzee usibadilishe mada. Hapa unaongelea uhusiano wa Ethiopia na Somaliland na Kuna uhusiano wa Egypt na Somalia.

Huku unamponda El-sisi.
Hiyo unayoiita Somaliland ipo na direct impact ya bwawa la Ethiopia.
Sasa unajua namna gani Egypt imewabana Ethiopia?
 
Hakuna mahala nilipobadili mada.
Ndio maana nikakwambia kuna mahala najua na kuna mahala sijui.
Ndio maana nikakuambia kutokujua uhusiano wa Somalia na Egypt hai justify kuwa sijui geopolitics.
Wewe eleza nilishakwambia toka mwanzo sijui kwasababu sijawahi kufuatilia.
Ila kuhusu Elsisi nina sababu lukuki za kumuita mnafiki na kumponda.
We elezea mwazo mwisho uhusiano wao na mzozo wa Egypt na Ethiopia wacha kuzunguka sana nilishakiri kuwa siujui.
Ila historia ya Somalia naijua toka 1960 mpaka sasa na kwanini walitengana .
 
Somaliland inatambuliwa na Taiwan tu. Endelea kujipa moyo kijana toka Somaliland.
Hata kama inatambuliwa na Taiwan tu haijalishi.
Somaliland ishasema haitakubali kuungana na Somalia ina bendera yake ,sarafu yake na makao makuu na katiba yake hilo utake usitake.
Kama ilivyo Taiwan.
 
Hakuna mahala nilipobadili mada.
Ndio maana nikakwambia kuna mahala najua na kuna mahala sijui.
Ndio maana nikakuambia kutokujua uhusiano wa Somalia na Egypt hai justify kuwa sijui geopolitics.
Wewe eleza nilishakwambia toka mwanzo sijui kwasababu sijawahi kufuatilia.
Ila kuhush Elsisi nina sababu lukuki za kumuita mnafiki na kumponda.
Usiende nje ya mada.
1. Unaongelea Somaliland
2. Unaongelea Relationship ya Somaliland na Ethiopia
3. Unaongelea Relationship ya Somalia na Egypt
4. Unamlalamikolia El-sisi kuwa yeye ni dhaifu.
5. Unaongelea Uhusiano wa Ethiopia na Egypt kuhusu bwawa.

Tuanzie hapa.

Tatizo lako lipo sehemu gani katika hizi points tano?
 
Hata kama inatambuliwa na Taiwan tu haijalishi.
Somaliland ishasema haitakubali kuungana na Somalia ina bendera yake ,sarafu yake na makao makuu na katiba yake hilo utake usitake.
Kama ilivyo Taiwan.
Bendera kitu gani mzee? Ndani ya Urusi kuna republics kibao kila moja ina bendera yake.
Hong Kong ipo na bendera na sarafu yake.

Ndio maana nikakwambia hujui Geopolitics. Nenda shule kwanza acha kujibu vitu kwa hisia. Jibu vitu kwa knowledge.
 
Usiende nje ya mada.
1. Unaongelea Somaliland
2. Unaongelea Relationship ya Somaliland na Ethiopia
3. Unaongelea Relationship ya Somalia na Egypt
4. Unamlalamikolia El-sisi kuwa yeye ni dhaifu.
5. Unaongelea Uhusiano wa Ethiopia na Egypt kuhusu bwawa.

Tuanzie hapa.

Tatizo lako lipo sehemu gani katika hizi points tano?
We ndio umeleta milolongo mingi sana mpaka ukazalisha mada ndogo ndogo japo vyote vinahusiana.
Nimemlalamikia Elsisi kuwa ni mtu mnafiki nikiwa na sababu zangu.
 
Zitaje hizo sababu zako.
Na ninakumbuka umemlalamikia kutokana na yeye kuwa na uhusiano na Somalia na ukamwita mnafiki
 
Bendera kitu gani mzee? Ndani ya Urusi kuna republics kibao kila moja ina bendera yake.
Hong Kong ipo na bendera na sarafu yake.

Ndio maana nikakwambia hujui Geopolitics. Nenda shule kwanza acha kujibu vitu kwa hisia. Jibu vitu kwa knowledge.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hapa tu umenifanya nikushangae sana mzee.

Unapozungumzia kitu republic unaenda sehem nyingine pana sana.
Na hizo republic ama jamhuri zilizokua ndani ya Russia minajili yake ni tofauti na Taiwan na Somaliland.
Kuna makubaliano yapo mpaka hizo republics kuwepo ndani ya Russia huku Russia federation akiwa ndio master government wa hizo republic.
Hong kong ilisharudishwa China 1997 na ikakubali kuwa sehem ya jamhuri ya China km ilivyo Zanzibar kwa Tanzania bara.
Kesi hizo na Somaliland ambayo ilishaanza vuguvugu la kujitenga la ukabila toka 1986 ni vitu viwili tofauti.
Bro punguza kuwa much know.
Ingelikua hivyo Eritrea isingekubaliwa kujitoa kwa Ethiopia.
 
Zitaje hizo sababu zako.
Na ninakumbuka umemlalamikia kutokana na yeye kuwa na uhusiano na Somalia na ukamwita mnafiki
Sababu zangu ni mbili tu wala sio nyingi.
Kwanza unafiki alioleta Muslim brotherhood na kumpindua Mohammed Morsi na yeye kuwa madarakani,Pili ahadi feki anazotoa kuhusu kuitetea palestina na udhaifu wa kutokuitetea palestina ilhali nguvu hizo anazo.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hapa tu umenifanya nikushangae sana mzee.

Unapozungumzia kitu republic unaenda sehem nyingine pana sana.
Na hizo republic ama jamhuri zilizokua ndani ya Russia minajili yake ni tofauti na Taiwan na Somaliland.
Kuna makubaliano yapo mpaka hizo republics kuwepo ndani ya Russia huku Russia federation akiwa ndio master government wa hizo republic.
Hong kong ilisharudishwa China 1997 na ikakubali kuwa sehem ya jamhuri ya China km ilivyo Zanzibar kwa Tanzania bara.
Kesi hizo na Somaliland ambayo ilishaanza vuguvugu la kujitenga la ukabila toka 1986 ni vitu viwili tofauti.
Bro punguza kuwa much know.
Ingelikua hivyo Eritrea isingekubaliwa kujitoa kwa Ethiopia.
Unaijua vita ya Chechnya wewe? Hilo vuguvugu kila sehemu mavugu vugu yapo.

Kwani unajua somalia ni Federal Republic of Somalia?
 
Sababu zangu ni mbili tu wala sio nyingi.
Kwanza unafiki alioleta Muslim brotherhood na kumpindua Mohammed Morsi na yeye kuwa madarakani,Pili ahadi feki anazotoa kuhusu kuitetea palestina na udhaifu wa kutokuitetea palestina ilhali nguvu hizo anazo.
Unataka El-sisi afanyeje? Kwani vita vya Palestine na Israel vilianza kipindi chake?
Na wewe nakuona kama mnafiki vile.
Kwani Saudia hana uwezo wa kuwatetea Palestine? Kwanini iwe El- sisi tu?
Huoni unafiki wa Saudia?
 
Back
Top Bottom