NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,081
- 19,314
Type hiyo sentensi kwa kiingereza sanifu utapata voice note.Hebu tuma voice note tucheke kidogo 😀
Type hiyo sentensi kwa kiingereza sanifu utapata voice note.Hebu tuma voice note tucheke kidogo 😀
Kwahiyo Accent ya kenya ni Bonoko?Hadi kusoma hujui. Nimesema accent ndio bonoko. Usikuwe mjinga hivo, jifunze kufikiria.
Kingereza sanifu kikoje hapo Kenya?Type hiyo sentensi kwa kiingereza sanifu utapata voice note.
Yaani mpaka leo bado una akili finyu namna hii?😎😂😂Retype this sentence in grammatically correct English and you'll get your voice note.😃😃
Now that we are talking about English, I will only answer your questions if asked in English. Let's go. 😂 😂Kingereza sanifu kikoje hapo Kenya?
Wewe tulimalizana nawe kitambo saana hata usiwai ongea mambo ya Kiingereza. Ulishindwa hadi kusema 'Jina langu ni Punda Mgonjwa'kwa kiingereza.😂😂Yaani mpaka leo bado una akili finyu namna hii?😎😂😂
Nimekuuliza kingereza kipi cha kenya unakiita sanifu?Now that we are talking about English, I will only answer your questions if asked in English. Let's go. 😂 😂
Bro unafanya mambo yawe complex.Unaijua vita ya Chechnya wewe? Hilo vuguvugu kila sehemu mavugu vugu yapo.
Kwani unajua somalia ni Federal Republic of Somalia?
Unajua maana Federal government?Bro unafanya mambo yawe complex.
Chechnya yenyewe ilikua na migogoro ya ndani na migogoro ya nje.
Somaliland yenyewe inajitambua kuwa Federal republic ikiwa inafanya uchaguzi wenyewe pasi na kuihusisha Somalia republic.
Unaona bro unavyofanya mambo yawe complex??Unataka El-sisi afanyeje? Kwani vita vya Palestine na Israel vilianza kipindi chake?
Na wewe nakuona kama mnafiki vile.
Kwani Saudia hana uwezo wa kuwatetea Palestine? Kwanini iwe El- sisi tu?
Huoni unafiki wa Saudia?
English bro, English. We said we are communicating in English.Nimekuuliza kingereza kipi cha kenya unakiita sanifu?
Federal government ni serikali inayohusisha states nyingi ila hizo states zinabakia kuwa na uhuru katika masuala yao ya kimataifa.Unajua maana Federal government?
Siku huo upuuzi ukikutoka kichwani utajikuta umechelewa. Amka mapema😎Wewe tulimalizana nawe kitambo saana hata usiwai ongea mambo ya Kiingereza. Ulishindwa hadi kusema 'Jina langu ni Punda Mgonjwa'kwa kiingereza.😂😂
Na SORRY nirekebishe kauli.Unaona bro unavyofanya mambo yawe complex??
Nimemzungumzia Elsisi sijamzungumzia Muhammed Salman.
Angalau Saudia imechukua hatua za kidiplomasia zaidi ya Israel.
We wanajeshi wako tisa wanauliwa ndani ya mipaka yako kimakusudi na bado unabung'aaaa!?
Basi asingempindua Morsi ambae alikua tumaini la Arab league.
In our generation, we have no strong command of the English language because in our formative years, it wasn't prioritized. You guys on the other hand, started learning the language early, you are expected to pronounce words properly.Hayi yenu ya kusema hev instead of have ama wek instead of work ndio mazuri? The only original English accent is from the Englishmen themselves, hizi zingine zote ni Bonoko. Usiangalie yenu ukasema ni Bora kuliko nyingine wakati zote ni Bonoko. What matters is the grammar of which Tanzania is the worst in all English speaking countries.
Alifanya mapinduzi kwaajili ya Palestine au kwaajili ya Egypt?Unaona bro unavyofanya mambo yawe complex??
Nimemzungumzia Elsisi sijamzungumzia Muhammed Salman.
Angalau Saudia imechukua hatua za kidiplomasia zaidi ya Israel.
We wanajeshi wako tisa wanauliwa ndani ya mipaka yako kimakusudi na bado unabung'aaaa!?
Basi asingempindua Morsi ambae alikua tumaini la Arab league.
Kwanini Somalia ni Federal State?Federal government ni serikali inayohusisha states nyingi ila hizo states zinabakia kuwa na uhuru katika masuala yao ya kimataifa.
Ndio maana nikakwambia Somaliland inatambulika na Taiwan pekee ambaye siye member wa UN. Usilazimishe mambo kwa kutumia hisia. Use knowledge.Na SORRY nirekebishe kauli.
Somaliland inajichukulia kuwa republic ila Somalia ndio inajichukulia kuwa Federal government.
Mavuguvugu yapo maeneo mengi sikatai ila kila vuguvugu lina sababu zake.
Vuguvugu la kuvunjika kwa Somalia Federal lilianza 1986 na lilikua la kikabila yani halina tofauti na la South na North Sudan.