Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thank you IMF,kamatieni hapo hapo 😆😆
Screenshot_20240120-075741.jpg
 
Mama anachezewa sana na hawa watu na ndiyo maana wanataka aendelee ili wazidi kuichezea wanavyotaka, kwa jinsi hali inavyoendelea ni kwamba hata jnhpp likianza uzalishaji (limeshaanza) bado umeme utaendelea kukatika katika, haya maendeleo machache ya kweli ni kwasababu alipita mzalendo na ndiyo maana wakalazimika kuendelea kufanya kama alivyokuwa anafanya mzalendo japo speed yao ni ya Kobe.

Bro, believe me kama Magufuli asingepita nchi hii tungeendelea kuletewa neti kwa msaada wa watu wa Marekani mpaka leo.
 
Tatizo la umeme sio maji. Ndio maana wanajua jnhpp ikiisha tatizo litaisha. Magu alisort out hio issue, waliopo sasa hivi imewashinda. Mkombozi wao ni jnhpp waliokuwa wanaipinga.
 
Tatizo la umeme sio maji. Ndio maana wanajua jnhpp ikiisha tatizo litaisha. Magu alisort out hio issue, waliopo sasa hivi imewashinda. Mkombozi wa ni jnhpp waliokuwa wanaipinga.
Hata jnhpp ikiisha bado kutakuwa na visingizio sijui vya mitambo sijui nini nini, ilimradi tu wapige, lkn sasa itawabidi watumie akili nyingi sana kuongopea wananchi mana jnhpp litawavua nguo zao wakifanya masihara, yule mzee ilikuwa ni lazima wamuondoe mana aliwashika pabaya sana, kwenye umeme ndipo walipokuwa wanapiga mno, sasa ngoja tuone watatumia akili gn kutushawishi tuamini umeme hakuna.
 
Back
Top Bottom