Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Tazara si inapita Makambako?Hiyo ya Mtwara-MbambaBay Wala Haina shida Kwa sababu inailenga zaidi Mikoa ya Kusini ya Tanzania na Malawi ila Ina bottleneck kubwa ya Ziwa.
Pili Hii ya Makambako -Mtwara ni muhimu zaidi kuisaidia Bandari ya Dar