Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Phase one ni ujenzi wa viwanja vya michezo mbalimbali na hotel na ndo hiyo imezungushiwa mabati.
Phase two ambayo inajumuisha uwanja wa mpira ujenzi bado haujaanza.
Owky, kumbe wanapiga kwa phases, ni render ipi watatumia kuitoa kwenye makaratasi kuiweka hapo ground.. share with us, I wanna know.
 
Mkuu Kwa sasa nina miaka 55 naelekea kwenye Ukongwe nafurah sana Kuitwa Young men na kijana wa Gen z

Kuna kitu nataka kukushauri kuna wakati Kuonyesha hoja ni vizuri ila sio hizi personal Assasination hazitawasaidia kitu..

Na nimegundua nyote nyinyi ni Alethophobia so vigumu kunielewa
Duuh, we ni Dr.? Mbn unaongea kama mtumbua mishipa mkuu, pia unajua kwa nn jamaa amekuita young man? Ni kutokana na muandiko wako wa kitoto mkuu.
 
IMG_3802.jpeg
 
Back
Top Bottom