ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,509
- 88,646
Mayb south africaDude hili hapa. Limejaa mzigo niambieni linaelekea wapi?
View attachment 2876818
Kwahiyo kwamba limetokea Dubai na limepita Dar, sasa litakuwa linaelekea wapi?Dude hili hapa. Limejaa mzigo niambieni linaelekea wapi?
View attachment 2876818
Duh hili dude ni shida halilali hapo hata Dar halijatua moja kwa moja from Dubai mpaka either Zambia au Zimbabwe.Mayb south africa
Hawa wakenya wamezubaa zubaa, wacha tuchukue mzigo wao tuwasafirishie nje alafu turudi na mzigo wa nje tuwapelekee, kwa hali ilivyo sasa sitegemei kuliona hili dege pale JNIA, ni mwendo wa trip tu, wakenya hawana cargo plane wacha tupige pesa 🤣🤣🤣🤣🤣Mayb south africa
Kivipi?Siku ukifahamu kuwa hii nchi sasa ni wakati wa kumuachia Chama kingine tofauti na hiyo CCM yako utanielewa............CCM wameishiwa mawazo ya kujenga hii nchi
Wewe kwa akili yako unahisi Tanzania tulipaswa kuwa hapa??Kivipi?