BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,049
- 2,542
Tunataka kuona sport mko mabingwa duniani ama ata mabingwa wa Africa
Senior team
Tunataka kuona sport mko mabingwa duniani ama ata mabingwa wa Africa
I don't blame you, wakunya and history ni kama maji na mafuta.How did it happen that you guys copied South Africa's national anthem....lol.
bro usife na tai shingoni. sema tu ukweli kuwa haujaelewa kasema nini apo. sema tu ufundishwe lugha ya wanaumehii kiswahili haisaidii kabisaa......umbea na udaku za vijiweni .zero talent in sports ......nani aliwaroga yawa
They copied ours after apartheid even their flag resembles ours.How did it happen that you guys copied South Africa's national anthem....lol.
Only 10km from CBD and voila pori limetamalaki.Beautiful photo of Nairobi there. 10km from CBD.
copy hii kwanzaSchwein...Mbona hamja-copy Tanzania SGR locomotives?
5km from Dar CBD.Only 10km from CBD and voila pori limetamalaki.
Nairobi ni ndogo kama piriton.
Wivu itakuuaAnother leasing aircraft 🤣🤣🤣🤣🤣
Air tanzania inawanyima usingizi
Ok haya basi mumenumua haya shangilia🤣🤣Wivu itakuua
Kwa vinchi vyenu hivi vya kipumbavu vya EA labda mchukue ubingwa wa michezo ya kipuuzi hiyo hiyo lakini sio soccer, soka inahitaji uwekezaji, akili na muda. Inahitaji uwe na pesa, akili na uvumilivu sio michezo mingine ya kipuuzi hata walevi wakikusanyana wanashinda, tutaendelea kuwawakilisha kila siku mana sisi ndiyo tupo serious pekeetu huu ukanda wa watu wapumbavu.Tunataka kuona sport mko mabingwa duniani ama ata mabingwa wa Africa
Senior team