Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Now huu ni utoto.

BTW, muda mwingi wa maisha yangu niko nje Tanzania, nimetoka kijana mdogo wa miaka 19/20. Last huko ni 2007, unafikiri hapa tulipo tunaongea Kizaramo?
mimi nimekuambia huwa unachapia naona sasa umeona nilichokuwa nasema! Tena kwenye Kiingereza ni balaa!
 
mimi nimekuambia huwa unachapia naona sasa umeona nilichokuwa nasema! Tena kwenye Kiingereza ni balaa!
Una matatizo sio bure. Sijawahi pata B kwenye hilo somo, sasa hiyo balaa inatoka wapi?? 🤣🤣

Una chuki binafsi na nongwa kwakua hupendi kuwekwa sawa.

From Collns Dictionary.
Second time hii naweka. Kumbe ulikuwa sahihi, lets move on.
Screenshot_20240114_213431_Chrome.jpg


Screenshot_20240114_213941_Chrome.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20240115-081819_Opera.jpg
    Screenshot_20240115-081819_Opera.jpg
    43.6 KB · Views: 12
Back
Top Bottom