ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Tani mil.24 Kwa Dar Port pekee,tukijumlisha na wengine tutafika tani mil.30
Kazi iendelee 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C2F3VcKvbJs/?igsh=MWZhc3h3MjB4cnc2Nw==
Tani mil.24 Kwa Dar Port pekee,tukijumlisha na wengine tutafika tani mil.30
Unanikana sasa... lets have peace Mzee... 😆Umezionaje kama hukagui?
Acha maigizo.
Hii ya Kundustan ni kama Darasa 😂Economy class ya kaskazini sasa kajamba nani 🤣🤣🤣
Mbingu na ardhi Economy class ya Tanzanian SGR is superior to their business class huko kaskazini 😁
Eti unataka kusema kulikuwa na Russian collusion?eleza kivp kama Trump na chama chake wanaweza kurubuniwa na Russia?
si ndio CIA wanadai!Eti unataka kusema kulikuwa na Russian collusion?
Uliwasikiwa wapi hao? Ni CNN Bana. 🙂si ndio CIA wanadai!
kuna ripoti google!Uliwasikiwa wapi hao? Ni CNN Bana. 🙂
Kwahiyo huamini SGR ya 7000 km kutoka Shanghai mpaka Moscow?Baada ya kuangalia video mbili tatu za hii channel, hakuna shaka hiki ni kituo cha propaganda, still informative though.
Wanachosema ni kweli ila wanavyoelezea ni ki propaganda, mfano hiyo subway ya Turkiye, siyo ya kwanza kujengwa. Waturuki wameshakuwa na subways kadhaa kabla ya hiyo waliyoshirikiana na wachina kujenga.Kwahiyo huamini SGR ya 7000 km kutoka Shanghai mpaka Moscow?
wakati nchi zingine zinaongelea major projects e.g. JNHPP, Dar port expansion n new Bagamoyo port, EACOP, electrical SGR project, kuna fools wanaongelea hili!
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1746816171171561756