Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo kampuni zinatengeneza mabehewa na mabasi na hawatengenezi Kingereza. Nimekuwekea sites mbili na zipo nyingi na pia kwenye kamusi iko klea, both terms zinatumika. Nimekuwekea vyote huko mwanzo.😂😂

St Francis iko Morogoro, Kihonda. Tabora ni pre-form one tu. 🙄🙄
Sasa mashule ya machokoroni niyajulie wapi? Nikitaja shule nilizopita unaweza ukakimbia! Kwa taarifa yako sikuhitaji pre Form one kwavile my command of English was already good! Hongera umeenda preform one na bado unachapia kule Twitter!
 
Si huwa mnasema kujua kiingereza Sio intelligence. Sasa nyinyi wenyewe mnajisifu Na kiingereza chenyewe.🤣
 
Kuna nchi zipo serious na kodi sisi africa bado tunacheka cheka tu hii ikija bongo mbona vijana wataikimbia nchi

ila hii komesha pata picha Mo pale METL arithi pasu kwa pasu incase mzee wake anavuta!
 
Sasa mashule ya machokoroni niyajulie wapi? Nikitaja shule nilizopita unaweza ukakimbia! Kwa taarifa yako sikuhitaji pre Form one kwavile my command of English was already good! Hongera umeenda preform one na bado unachapia kule Twitter!
Nimekwambia uziweke hapa, hujaweka mpaka sasa. Taja hizo shule ambazo zilikua bora zaidi ya Seminariz kwenye late 1980s to the end of 1990s.

Hata International school ni mbinde ukute mwalimu mwenye kiwango cha degree. Mwalimu wetu wa biology kuanzia form one ni Medical Doctor, sister Francis kutoka St Anna, toka kitui cha Afya Kihonda.

Acha maigizo!
 
pitia posts zako sina muda wa kukagua uchapiaji wako!
 
Nimekwambia uziweke hapa, hujaweka mpaka sasa. Taja hizo shule ambazo zilikua bora zaidi ya Seminariz kwenye late 1980s to the end of 1990s.

Hata International school ni mbinde ukute mwalimu mwenye kiwango cha degree. Mwalimu wetu wa biology kuanzia form one ni Medical Doctor, sister Francis kutoka St Anna, toka kitui cha Afya Kihonda.

Acha maigizo!
Halafu ndo wakatoa boko wewe namna hii!
 
Hii treni ya kenya ukiiangalia vizur utagundua imepigwa rangi ya nyumba hii 😅😅👇
KENYASGR.jpg
 
Excuses tuu za kumfariji yule aliyekuwa na PhD ila hajui Kisungu 🤣🤣
Wewe ungekaa na kutulia kwakua hujui A wala B.

Tanzania wanafunzi wanakutana na lugha ya kingereza secondary kabla ya shule private hazijaanza na hufundishwa na watu wasio na uelewa mzuri wa hiyo lugha na hakuna mkazo na matokeo yake, wahutimu wengi Tanzania wana tatizo kubwa kwenye 'Parts of Speech'.

Kujua kingereza mara nyingi imekuwa ni juhudi binafsi kwa waliotokea shule za serikali.
 
wahutimu ndio nini? Hata Kiswahili unachapia pia?
 
Halafu ndo wakatoa boko wewe namna hii!
Shukran kwa jina.😄

Kuna Seminary aina mbili za kikristo, Jimbo na Shirika. Seminary za shirika hawachukui vilaza na mchakato wa kujiandikisha unaanza tangia darasa la nne kwa kuwasilisha matokeo na mitihani parokiani, inaenda hivyo mpaka la saba. Wanaopita hapa ndio huenda kupiga pepa pale pale Seminary kabla ya kuchaguliwa.

Seminary hawachukui vilaza, strictly. Tafuta Padre ama Askofu kilaza, nipo hapa nakusubiri.🤣🤣
 
Back
Top Bottom