Kingereza sikujifunza kama jinsi wanafunzi wa secondary za serikali Tanzania wanajifunza, ambopo wewe waweza kuwa mmoja wapo.
St Francis de Sales imetenga eneo maalum kwa ajili ya pre-form one ya kufundisha English huko Lububu, Tabora na ni zaidi ya mwaka. Na hakuna Mwalimu Mmatumbi na ni wakufunzi wenye more than one degree. Waalimu wangu wote ndani ya Lububu were all Indian Mapadri.
Tunapoanza Form Kihonda, Morogoro haturuhusiwi kuongea Kiswahili na hata kuanzia form one, waalimu wetu ni masister na mapadre wa Kihindi, none na hakjna aliyekuwa hana degree.
1. Inasikitisha kuona unanielezea kuhusu baadhi ya maneno ya Kiingereza toka lugha nyingine, wakati neno 'Bible' ni moja ya maneno ya kwanza tunayojifunza.
2. Lete hapa unachosema eti nachapia kinoma twitter, please lete hapa!
3. Hakuna mahala nimerefer 'The Citizen'. Nimekupa referensi mbili na zipo nyingi na yote hayo yanatumika.
4. Ulisema napotosha kwakua mzigo uko Pugu tayari, nikajaribu tu kukuweka sawa kuwa mzigo mwingi uko Germany bado, right?