Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,913
- 103,782
Je tuna structures za kuzuia nchi kuparaganyika atakapotokea Mgombea binafsi anayeungwa mikono na nchi au makampuni makubwa yenye nia ovu? Huyu Tibaijuka alipokuwa Waziri alipewa hela ya mboga kutoka escrow account na Nshomile mwenzie mkwapuaji Rugemalila akapokea maana hakuona tatizo! Kumbuka alitokea UNEP!Be open minded!!! Mgombea binafsi itaondoa ile power kama ya Mwendazake kuwa yeye kama Mwenyekiti wa Chama kwahiyo anasema tu kuwa namtaka Gwajima na huyo Mpwa wangu muacheni ata kama ni kura za wajumbe zimerdhia