buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Mwaka huu tutaona mengi 🤣🤣
View: https://twitter.com/Bossyator/status/1746774069872042290?t=ShZFLXg-AjF4hL1w6dwLpg&s=19
Well nimeelewa kwanini Wakenya wanapigwa sana. Mtu yoyote akicompare cha Kenya na Tz, watakidefend chao hata kama kina upigaji, Ukisoma komenti ndio unaelewa why, hata hilo liSGR lao walilikubali kisa Tz hatukua na SGR that time, now Bei ile ile, KM Ndefu, Electrified, JOKAAAA. Wameanza kuitukana yao. Hata station hatuoni these days.
Wakenya ni hopeless kabisa, eti mtu anaridhia Ikulu kukarabatiwa kwa pesa za kujengea mpya, kisa eti Level.
Wapigwe tu.