Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
Yaani kila nchi EAC ilijenga terminal mpya kimyakimya ila kuna neighbor masifa alijenga yake watu hatukulala humu!Common sense inasema wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza 😁
Ze modan city in Isti Afirika. Alafu hii ni CBD 😂 😂We all know that Dar is Slum is the most rusted village in entire world.
View attachment 2868122
Zanzibar ndio wanagawa hizo registration kama njugu bila kufanya uchunguzi wa kina.Nakumbuka Iran iliwahi kutumia bendera yetu kwenye meli zao.
😂😂😂 Imagine wanaexport ajira zenye thamani ya za ya billion 300 halafu wanalalama hawana ajira na wao ni wasomi na hardworkers wa sevisi ikonomi 😂😂😂Watalima wapi wakat arable lands zote zinamilikiwa na wazungu pamoja na wanasiasa wanalima chai na kupanda maua 🤣🤣🤣
umeona enheee... Humu ndani ni mwendo wa vitasa kuwekana sawa! Yaani hii serikali ingenunua fire fighters kwa Halmashauri zoote kwa ile midude ya anasa! Ipo siku tutatazamana hku tukilia humu ndani!Huwa unatetea serikali kununua haya madude.
Kwa mawaziri na wakuu wa mikoa, YesHuwa unatetea serikali kununua haya madude.
Kingereza sikujifunza kama jinsi wanafunzi wa secondary za serikali Tanzania wanajifunza, ambopo wewe waweza kuwa mmoja wapo.Kwa taarifa yako neno double decker origin yake si neno la Kiingereza ni neno limeazimwa toka neno la lugha nyingine za Kimagharibi! Ndio maana nimejaribu kukusahihisha! Kule twitter unachapia kinoma halafu inaua hata arguments unazo-push! Sasa usianze kusema lugha imeletwa na meli jaribu kuchunguza maana hata Kiingereza huazima maneno kutoka lugha kama za Kifaransa au Kispanishi au Kireno au Kijerumani!
Anyway the choice is urs baba...
Wanaozitengeneza wenyewe
![]()
Alstom to supply double-decker trains for regional transport in Lower Saxony in Germany
In a contract worth nearly €760 million, LNVG will receive 34 modern Coradia Stream High Capacity trainsets 9 March 2021 – Alstom has been selected to supply 34 Coradia Stream High Capacity doublewww.alstom.com
![]()
Siemens powers zero-emission double decker buses in London | Press | Company | Siemens
In partnership with Tower Transit, a bus operator in London and part of the SeaLink Travel Group, Siemens Smart Infrastructure provided the charging in ...press.siemens.com
![]()
Hyundai Rotem wins $917 mn Australian electric train project - KED Global
Hyundai Rotem, a South Korean railway system maker under Hyundai Motor Group, said on Friday that it had won a major contract in Australia alongside local railwww.kedglobal.com
Una-copy the Citizen mara ngapi wanachapia! Hivi unajua some of those Journalists ni form IV failures?
Unaweza kutetea hoja yako, kwa nini watumie hizo gari?Kwa mawaziri na wakuu wa mikoa, Yes