The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Umemtomb .a bila cndm π€£π€£π€£π€£Wewe comedian, haya bishana na hii sasa.. EA mall πView attachment 2866235vs Two rivers mall View attachment 2866236.. bisha tena kima wewe π€£π€£π€£π€£. Na kama huelewi kitu pia pitia hii πView attachment 2866241
Safiiiiiii, safi sana Hussein mwinyi!! Haya ndo maoni sasa!!New Zanzibar Ferry Boat passenger terminal
View attachment 2866564
Amezungukwa na cartels, unataka afanye nini?Mi nashangaa watu wanaosema ati Majaliwa ni mrithi wa Magufuli na sijawahi kuona mahali ka-take risk dhidi ya ubadhirifu! Ni maigizo kwangu.
Excuses as usual ππAmezungukwa na cartels, unataka afanye nini?
Magufuli akiwa Waziri alikuwa ana-pull strings! Huyu jamaa yenu joka la kibisa!Amezungukwa na cartels, unataka afanye nini?
Imagine details ndogo ndogo ni tatizo kwao ,hata kuweka hilo bango linyooke ni shida π
Mwenyekiti mimi ushauri wako huwa naukumbuka muda wote πIkiwa zipu za suruali zao hazijanyooka, sishangai kuona bango kutonyookaπ€£π€£
Ndinda naona hua hamunielew nikisema kwenye maneno 1000 ya mkenya chukua moja na hilo moja usilale mpaka ulitafakari
Mkenya yuko radhi afe njaa lakini afake life yake π π π π
View: https://twitter.com/Motheo2009/status/1744710009961754844?t=2tE1RhU9oseEY4VS_DYpoA&s=19
View: https://twitter.com/otieno_mau50011/status/1744686163678425284?t=zTgzCGu2ZNV4zApEwcFX-Q&s=19
View: https://twitter.com/DanMaau/status/1744686197446791341?t=hfRGcs7QMQ55pDifEACZEg&s=19
View: https://twitter.com/LGathecha/status/1744690564858007873?t=hQRfQIxqzB5d1SdFrA9oFA&s=19
View: https://twitter.com/Esthernjeri6/status/1744658455351234975?t=40D7sRGmTcoJ_j7tnpn9mQ&s=19
Mzee utakua na utani na sisi, Bongo niwe na pesa hizo eti nipange? Mapori kila sehemu, na viwanja vingi nje ya mji, nasimamisha mjengo wangu bila bugudha.Here is one channel i like to watch, you rich Tanzanians si you come acquire these properties also
View: https://youtu.be/gDTF73EVEeU?si=mO_XuC0blFOwOrYR
Wewe tena umeanza kumsifika magufuli, hivi kulikuwa kuna sababu gani ya msingi ya kuwa na naibu waziri mkuu, kama siyo kumletea sonono Majaliwa?Magufuli akiwa Waziri alikuwa ana-pull strings! Huyu jamaa yenu joka la kibisa!
Sawa kwahiyo nyie SUKUMA GANG mmemuandaa nani ashike nchi??Anatake vipi risk wakati boss wake ni prominent memba wa mtandao wa mafisadi?
wakenya mshapagawa wallahi, Dar ina biggest mall in the region U/C, ina electrified railway the longest in Africa, ina cable stayed bridges, ina BRT, ina modern airport, ina the most efficient port na bado mnaifananisha na mji nzee kama Nairobi π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£View attachment 2866406
Mombasa is more developed than overrated dar..fact