Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do you know all the components of LAPSSET project? Ama umekuja tu kutoa povu kama kawaida yenu mkizidiwa kwenye hoja?
Wacha kutetea mradi uliofeli already, onyesha hata gari moja ikibeba mchanga kuendelea na ujenzi walau wa barabara ya mita 4 kuelekea kwenye hiyo tembo mweupe.
 
Si mjenge hizo expressway kumi tuone basi? Nani kawazuia? Michango zenu humu zimetawaliwa na hisia sana nyinyi mibongolalala
Eti tunatawaliwa na hisia. Kwani nimesema uongo kuhusu serikali kuweza jenga Expressway 10?, shida yenu kazi kufocus na vitu vya hasara kiuchumi.

JHNPP pesa yake hapo unafyatua Expressway ngapi? Ila tuliamua JHNPP kutibu Tatizo la umeme.

SGR pesa yake unafyatua Expressway ngapi?

Sikia kuna miradi mingi inafanyika ambayo ni more viable na strategic ambayo tulielekeza pesa, mbeleni inaweza zalisha pesa za kujengea hiyo Expressway, ambapo huko kwenu hako Ka expressway, SGR, GTC haviwezi zalisha pesa za kuweza complete hata mradi mmoja tunaojenga Bongo.

And by the way Mchina anajenga EACLC pale ubungo, ila check sasa ownership imekaaje.

Wakenya mpo na kawaida ya kupenda sifa badala ya kuangalia kwa upana no wonder mko na hasara daily.
 
hakuna aliyesema bongo kuna expressway, hakuna ila tarajia kuona bongo ikiwa na longest expressway kwa eastafrica
Of course hakuna aliyesema bongo Kuna expressway ila nakumbuka kuna kilaza fulani alisema ipo muda si mrefu iliyopita
Usijal, kuna ya kuna ya uref wa zaid ya 150km, kuanzia kibaha hadi morogoro. Note: ni expressway
 
Eti tunatawaliwa na hisia. Kwani nimesema uongo kuhusu serikali kuweza jenga Expressway 10?, shida yenu kazi kufocus na vitu vya hasara kiuchumi.

JHNPP pesa yake hapo unafyatua Expressway ngapi? Ila tuliamua JHNPP kutibu Tatizo la umeme.

SGR pesa yake unafyatua Expressway ngapi?

Sikia kuna miradi mingi inafanyika ambayo ni more viable na strategic ambayo tulielekeza pesa, mbeleni inaweza zalisha pesa za kujengea hiyo Expressway, ambapo huko kwenu hako Ka expressway, SGR, GTC haviwezi zalisha pesa za kuweza complete hata mradi mmoja tunaojenga Bongo.

And by the way Mchina anajenga EACLC pale ubungo, ila check sasa ownership imekaaje.

Wakenya mpo na kawaida ya kupenda sifa badala ya kuangalia kwa upana no wonder mko na hasara daily.
Unaongea kuhusu SGR kitu inafadhaliwa na mturuki? Unaongea kana kwamba Hela mnayo wakati kila kitu ni mikopo
 
While Naivas has 102 branches 🤣🤣🤣

Hawa tunawaentertain tu. Hapa hakuna battle
Yani ukichukua Magunas Supermarket upeleke Tz it will automatically become the biggest supermarket in Tz.
 
Tuna kampuni nyingi za cables hapa Tanzania kama Daesung cables Dar es salaam, TANELC Arusha na na hii inayotajwa hapa.
Mzee kwa Cables nashauri serikali iweke zuio kuagiza cables kuna kampuni nyingi asee.

Everwell Cables
Mastercool cables
Africab Cables
Daesung
TANELC

Kwa uchache. Ukizingatia tupo karibu na DRC tunaweza fanya mambo mzigo wa copper ukawa unaishia huku Bongo tufanye exports.

Ila shida hamna sera ya kuangalia hili.
 
What happened to the song 'kenya inauza avocado zetu'?

They started selling their ten pieces of avocados by themselves thinking it will prove a point lakini Mungu ni nani?🤣🤣
Ivi hawa nyang'au wanatuchukuliaje?
Mnajua kwamba tuna uwezo wa kufanya kila kitu chenu huko kiporomoke tukiamua?

Kwanza onesha shamba mnazolima hizo tans mnazoexport.
 
Yaani Hadi narok wanajenga supermarket za nguvu kuliko iyo Kijiji yenu
Quickmartttttt
IMG_20240106_123039_698.jpg
 
Eti tunatawaliwa na hisia. Kwani nimesema uongo kuhusu serikali kuweza jenga Expressway 10?, shida yenu kazi kufocus na vitu vya hasara kiuchumi.

JHNPP pesa yake hapo unafyatua Expressway ngapi? Ila tuliamua JHNPP kutibu Tatizo la umeme.

SGR pesa yake unafyatua Expressway ngapi?

Sikia kuna miradi mingi inafanyika ambayo ni more viable na strategic ambayo tulielekeza pesa, mbeleni inaweza zalisha pesa za kujengea hiyo Expressway, ambapo huko kwenu hako Ka expressway, SGR, GTC haviwezi zalisha pesa za kuweza complete hata mradi mmoja tunaojenga Bongo.

And by the way Mchina anajenga EACLC pale ubungo, ila check sasa ownership imekaaje.

Wakenya mpo na kawaida ya kupenda sifa badala ya kuangalia kwa upana no wonder mko na hasara daily.
Wanapenda vitu vya kufurahisha macho ili waonekane wameendelea lakini huku kwenye base ndio uozo mtupu. Wainarishe kwanza misingi hivyo vyote wanavyovipenda vitakuja tuu automatically.
 
Wacha kutetea mradi uliofeli already, onyesha hata gari moja ikibeba mchanga kuendelea na ujenzi walau wa barabara ya mita 4 kuelekea kwenye hiyo tembo mweupe.
Mradi uliofeli?? Hivyo ndio unajiconsole?

Among the road projects in LAPSSET are the following and all are done and dusted

1. Lamu-Witu- Garden road (113km);
2. Lamu-Garissa-Moyale (530Km);
3. Isiolo-Moyale-Hawassa (505km);
4. Isiolo-Lokichar-Nadapal-Torit-Juba (700Km);
5. Isiolo – Marsabit – Moyale (505km)

Wewe endelea kujiliwaza na story za vijiweni hapo gongo la mboto
 
Back
Top Bottom