ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Kwan expressway inamilikiwa na nani?? Na kwann pesa zinaenda kwa wachina ??🤣🤣Kaumia!! 😂😂
Jiulize ni kwa nini huyo mchina alichagua Nairobi kawacha Jiji la uswazi Dar
Mombasa Malindi Road..Bara bara ya overpass 4 na viaduct 1..
View: https://www.youtube.com/watch?v=cRP-CeMw-BI&t=187s
View: https://www.youtube.com/watch?v=CWTskm2jNOQ
Yale yale ya sisi WaTanzania wa jamiiforums kuwa against na data....basi hawa mwananchi ni waongo....au BOT wenyewe ni waongo wa kutupwa....hongera marketing officer....😁😁😁🤣🤣🤣 Sorry to let you know this, nipo kwenye sales and marketing industry ni miaka miwili sasa, nikujuze tu bidhaa za kenya zina struggle mno kupata soko hapa Tz, bidhaa zilizokua zikifanya vizur from KE zilikua ni Uniliver, saivi bidhaa hizo hazina soko kabisa, binafsi nimesmamia marketing campaigns za bidhaa za Uniliver kama vile, Omo, Royco, Geisha, Vim, Omo bleach, Omo auto n.k. Ni juzi tu Uniliver wamefanya marketing campaigns mbili mfulululizo kwenye supermarket zote Dar, Arusha na Mwanza, na hata tunavyoongea hivi sasa bado wapo watu wanafanya marketing campaigns za bidhaa hizo. 🤣🤣🤣🤣 Mambo sio mambo mkuu
Mimi nakwambia ninachokiona ground kama wewe utaendelea na pang'ang"a zako, then mimi ni nani nikulazimishe?Yale yale ya sisi WaTanzania wa jamiiforums kuwa against na data....basi hawa mwananchi ni waongo....au BOT wenyewe ni waongo wa kutupwa....hongera marketing officer....😁😁😁
Hakuna kitu Cha maana tunafanya wakati hadi kufikia sasa mnatumia cables zilizotengenzwa Kenya
Tanzania Imports from Kenya of Stranded Wire, Ropes, Cables, Plaited Bands, Slings, of Iron or Steel - 2026 Data 2027 Forecast 1995-2024 Historical
Tanzania Imports from Kenya of Stranded Wire, Ropes, Cables, Plaited Bands, Slings, of Iron or Steel was US$35.34 Thousand during 2024, according to the United Nations COMTRADE database on international trade.tradingeconomics.com
Kumbe mnakuanga na supermarkets. 😂 😂 😂 😂Yale yale ya sisi WaTanzania wa jamiiforums kuwa against na data....basi hawa mwananchi ni waongo....au BOT wenyewe ni waongo wa kutupwa....hongera marketing officer....😁😁😁
So many supermarkets bruh. In case you don't know.Kumbe mnakuanga na supermarkets. 😂 😂 😂 😂
sasa braza mimi na wewe nani analeta pang'ang'a...?? kati yako na BOT unadhani ni nani anapaswa sikilizwa...?? kama unaumia you have two options 1. karipoti TCRA kuwa gazeti la mwananchi wameandika habari za uongo....2. nenda BOT kapinge data/information zao.......🤗🤗🤗sawa bwana marketing officer...😁😁😁Mimi nakwambia ninachokiona ground kama wewe utaendelea na pang'ang"a zako, then mimi ni nani nikulazimishe?
huyo ni marketing officer ambaye yupo ground so anapingana na gazeti la mwananchi lilitoa habari ya kuwa kenya imepindua meza ya biashara kwa mwaka 2023 huku wakitoa data za BOT, mimi naomba mtuzoee tu sisi waTanzania wa jukwaa hili kwani wenzetu wengi huwa hawapendi ukweli wa data na wengi wao ni 'wadhalendo'....ukitaka kuona mijadala halisi ya waTanzania uwe unapitia jukwaa la siasa.......humu huwa mndanganywa sana.....kuna kipindi niliona jamaa kapost shule ya Feza boys akasema ni hoteli..😁😁😁😁Kumbe mnakuanga na supermarkets. 😂 😂 😂 😂
We jamaa nakupiga nini.? Hizo report za bidhaa nyingi za kenya kujazana kwenye maduka ya Tz na kwamba hakuna bidhaa za Tz kwenye maduka yetu as you claimed we ulizitoa wapi we punda.? Au hizo bidhaa ni invisible.? 😂😂😂huyo ni marketing officer ambaye yupo ground so anapingana na gazeti la mwananchi lilitoa habari ya kuwa kenya imepindua meza ya biashara kwa mwaka 2023 huku wakitoa data za BOT, mimi naomba mtuzoee tu sisi waTanzania wa jukwaa hili kwani wenzetu wengi huwa hawapendi ukweli wa data na wengi wao ni 'wadhalendo'....😁😁😁
Konza empty green fieldKonza City Sub-Station
Served by a 400kV line
![]()
![]()
You should have asked yourself why the Chinese (and many other international organizations for that matter) have chosen Nairobi to be their regional, continental and even global headquters na sio jiji lenu la uswazi Dar. Hiyo ndio swali inafaa kukuumiza kichwa badala ya kutoa povu lita kumi hapaUyo kaweka tena gtc ya mchina, yani 24/7 hakuna mradi mpya zaidi ya gtc na expressway vyote vya mchina 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Stop looking for excuses in typos bongolala. Be man enough and stick to the pointConversation? We nyumbu kalale au tafuta hata ukoko ule 😂😂😂
Then tell me when Kenya lifted The banUjanja huo hamna,huo ulikua mkwara baada ya kuzuiwa kuingia mashambani