Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,653
Mbona unajishtukia?😎Utasikia eti data za kupikwa...
Mbona unajishtukia?😎Utasikia eti data za kupikwa...
So, majengo ndiyo miradi ya kuongelea hapa? wakati majengo yenyewe sio unique. Majengo hata Somalia yanajengwa daily ndio maana huwezi kuona tunasumbuka na majengo sisi, definitely vimiradi vya less than $500B tushaachaga kuvipost humu.And just for the records, miradi mipya yamejaa but we rarely post them.
This is Altura Towers in Upper Hill, 30 floorsView attachment 2863009View attachment 2863010View attachment 2863011View attachment 2863012View attachment 2863015
This one is 1870 West Towers in Westlands. A twin tower of 30 floors eachView attachment 2863021View attachment 2863023View attachment 2863024
88Nairobi. 44 floors and the tallest residential building in East and Central AfricaView attachment 2863025
And many more. Show me any building under construction above 30 floors in Dar is slum ndio tuanze kuongea about new projects as you imply above
Nimeshamuonesha hapo, wanaexport $5b wanaimport $9b 😂😂😂tuleteeni na data za imports za Kenya! Mtashangaa!
Nipe variation ya export na import yenu hapa kama una ubavu!Stop looking for excuses in typos bongolala. Be man enough and stick to the point
Mkuu hata kama ndio ubaguzi kuwa mkweli,copy kama hizi ukanda wa kusini huwezi kukutana nazo,ila kwa upande ule ndio mali safi zenyewe sasahizi lugha za ubaguzi zinatoka wapi tena? Usukumagang unarudi tena?
umefika kwa Wakurya? Wahaya?Mkuu hata kama ndio ubaguzi kuwa mkweli,copy kama hizi ukanda wa kusini huwezi kukutana nazo,ila kwa upande ule ndio mali safi zenyewe sasa
Why do you want me to overlook the $10m ambayo tumewashinda nayo while it is a statistical data?Nipe variation ya export na import yenu hapa kama una ubavu!
Unadisqualifily export yetu kisa eti mmetupita kwa vidollar million 10 wakati ninyi mna export $5b mnaimport $9b 😂😂😂
View attachment 2863166
Changing gears as usual. I posted a building ukasema hiyo ndio tunapost hapa kila siku na kwamba hatuna miradi mipya. After posting several buildings under construction sasa unakuja na povu zako as usual.So, majengo ndiyo miradi ya kuongelea hapa? wakati majengo yenyewe sio unique. Majengo hata Somalia yanajengwa daily ndio maana huwezi kuona tunasumbuka na majengo sisi, definitely vimiradi vya less than $500B tushaachaga kuvipost humu.
Egypt's economy relies mainly on agriculture, media, petroleum imports, natural gas, and tourism.Hivi Egypt hela wanapataga wapi aisee
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Dunia simama.Mkuu hata kama ndio ubaguzi kuwa mkweli,copy kama hizi ukanda wa kusini huwezi kukutana nazo,ila kwa upande ule ndio mali safi zenyewe sasa
Kabla uzaliwe hapo glorified fishing villageMulianza kufanya miaka gani??🤣🤣🤣🤣
Nani kataja expressway hapa bongolala? Mbona unaweweseka? Toa matongo machoni kisha ufate thread ujue yanayoendeleaKwan expressway inamilikiwa na nani?? Na kwann pesa zinaenda kwa wachina ??🤣🤣
Kwann wachina wataimiliki expressway over 30 years na je after 30 good years hio expressway itakua kwenyw hali gani???
Akili inakaa kichwani sio kwenye kunduthe
Si mjenge hizo expressway kumi tuone basi? Nani kawazuia? Michango zenu humu zimetawaliwa na hisia sana nyinyi mibongolalalaKwa sababu Bongo tupo tofauti kidogo kuanzia suala zima la ardhi, mpaka sera ya Umiliki wa vitu vya umma.
Unataka mchina ajenge Expressway kwa 550m alafu atulipishe tuielewe Serikali?
Na kipindi hicho Tulikua na Serikali (JPM).
Kwamba JPM asaini ujinga wa 550m utakaotumika baadae kufanya mambo magumu kwa wananchi?
Kitu ambacho serikali iko na uwezo hata wa kuzijenga hizo express way 10 na Uchumi uwe vile vile kama hakojatokea kitu na Serikali yetu haiangalii DAR tu inaaangalia NCHI NZIMA sio kama nyie NAIROBI.
Kwa sera yetu ni ngumu kwa hayo mavitu kufanikiwa maana unakua huna hakimiliki kamili, juu ya ardhi.
Mm hua nafurah sana kuona habari kama hzi🤣Nani kataja expressway hapa bongolala? Mbona unaweweseka? Toa matongo machoni kisha ufate thread ujue yanayoendelea