Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inside Lake Victoria. Magufuli Bridge
1704523078746.png
 
We jamaa nakupiga nini.? Hizo report za bidhaa nyingi za kenya kujazana kwenye maduka ya Tz na kwamba hakuna bidhaa za Tz kwenye maduka yetu as you claimed we ulizitoa wapi we punda.? Au hizo bidhaa ni invisible.? 😂😂😂
Punda mwenzangu hebu tuliza huo mswambanda wako, na uwe unajaribu kusoma kwa kutulia....chanzo cha habari ni gazeti la mwananchi, wao data wamezitoa BOT ambazo zimezungumzia zaidi business volume kwa ujumla, business volume ni pamoja na thamani za bidhaa na huduma, bidhaa fulani kutokufanya vizuri haimaanishi biashara yote ni mbaya. katika habari hiyo hiyo kuna watu/wataalamu wamehojiwa na kuelezea kwa nini hali iko hivyo.....mojawapo ya sababu ni kuwa sisi tunauza sana malighafi Kenya wakati wao wanatuuzia bidhaa zilizoongezwa thamani, mfano tukiwauzia maelfu ya tani za viazi wao wanatuuzia Pringles n.k, punda mwenzangu unakuja kuleta experience ya unilever product, punda mwenzangu una akili iliyo sawa wewe.....??? By the way bila kuwa hata mtaalam wa marketing kuna bidhaa ukipeleka uswahilini haziwezi toboa......pia matumizi ya bidhaa Tanzania yanakuwa affected sana kwa ukanda, ukienda kaskazini magharibi bidhaa zinazotamba ni kutoka Uganda, ukienda kaskazini mashariki bidhaa za Kenya utazikuta kwa wingi na zinafanya vizuri tu, nyanda za juu kusini bidhaa muhimu kama sukari watu wanaamini zaidi za Zambia au Malawi....nikiwa Igunga na maeneo ya Simiyu mpaka viberiti ni Kenya hapo hujagusa nguo kama vile mashuka ya kimaasai. Mfano mwengine ni huu, wakati kiwanda cha pili kama siyo cha tatu kwa ukubwa Africa cha karatasi kipo Mgololo Tanzania, lakini mojawapo ya imports kubwa za karatasi ni kutoka Kenya, tena kichekesho ni kuwa tunawauzia karatasi ghafi wao wanatuuzia full finished papers.....kwa hiyo BOT wanapokuja na data hizo inatakiwa ukae kwa kutulia tena wewe kama mtu wa marketing and selling ndiyo unatakiwa uzisome kwa makini na kujua wapi tunapigwa gap....ila kwa sababu ni marketing officer uchwara unakuja kubwata bwata tu hapa, kwanza unaweza kuta wewe ni wale jamaa wanatembea na mafurushi ya bidhaa huku mmevaa ma tai viatu full vumbi mnasumbua tu watu kwenye mabaa, ndugu punda ile siyo marketing ule ni umachinga wa utumwa, ni bora hata machinga anayeenda kununua bidhaa zake kariakoo kuliko wewe ili uuze lazima utembeze tako lako kwa wanaume wenzio.

All in all punda chukua hii kwa uchache;
1. uwe unasoma viambatanisho i.e reference coz wengine humu hatupo kwa ajili ya porojo tu wewe kwa sababu umezaliwa mkunduni unaziita pang'ang'a 2. bidhaa si za unilever tu, tena wakati hizo zina struggle huko uswahilini ukienda top shopping centers kama vile malls na supermarkets bidhaa za Kenya zipo na price yake huwa imechangamka hivyo hununuliwa kwa large volume na wenye pesa 3. selling ya bidhaa huwa inatofautiana demographically. 4. thamani ya biashara si tu uwingi wa vitu unavyouza bali pia ni thamani ya bidhaa hiyo...na moja ya vitu vinavyotengeneza thamani ni ubora.
 
Punda mwenzangu hebu tuliza huo mswambanda wako, na uwe unajaribu kusoma kwa kutulia....chanzo cha habari ni gazeti la mwananchi, wao data wamezitoa BOT ambazo zimezungumzia zaidi business volume kwa ujumla, business volume ni pamoja na thamani za bidhaa na huduma, bidhaa fulani kutokufanya vizuri haimaanishi biashara yote ni mbaya. katika habari hiyo hiyo kuna watu/wataalamu wamehojiwa na kuleza kwa nini hali iko hivyo.....mojawapo ya sababu ni kuwa sisi tunauza sana malighafi Kenya wakati wao wanatuuzia bidhaa zilizoongezwa thamani, mfano tukiwauzia maelfu ya tani za viazi wao wanatuuzia Pringles n.k, punda mwenzangu unakuja kuleta experience ya unilever product, punda mwenzangu una akili iliyo sawa wewe.....??? By the way bila kuwa hata mtaalam wa marketing kuna bidhaa ukipeleka uswahilini haziwezi toboa......pia matumizi ya bidhaa Tanzania yanakuwa affected sana kwa ukanda, ukienda kaskazini magharibi bidhaa zinazotamba ni kutoka Uganda, ukienda kaskazini mashariki bidhaa zinazotamba ni kutoka Kenya, nyanda za juu kusini bidhaa muhimu kama sukari watu wanaamini zaidi za Zambia au Malawi....nikiwa Igunga na maeneo ya Simiyu mpaka viberiti ni Kenya hapo hujagusa nguo kama vile mashuka ya kimaasai, FYI wakati kiwanda cha pili kama siyo cha tatu kwa ukubwa Africa cha karatasi kipo Mgololo Tanzania, lakini mojawapo ya imports kubwa za karatasi ni kutoka Kenya, tena kichekesho ni kuwa tunawauzia karatasi ghafi wao wanatuuzia full finished papers......all in all punda mwenzangu
1. uwe unasoma viambatanisho 2. bidhaa si za unilever tu, tena wakati hizo zina struggle huko uswahilini ukienda top shopping centers kama vile malls na supermarkets bidhaa za Kenya zinapeta na kununuliwa kwa large volume na wenye pesa 3. selling ya bidhaa huwa inatofautiana demographically.
Hii lugha ni kutoka google translate. Hebu jaribu sasa kuandika wewe ueleweke 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwa hiyo hayo majengo ndio miradi?😁
Eti ooh Kenya haina miradi mipya

Kwani hizi ni mama zenu? 😂😂
Green energy fertilizer factory

Malindi Solar power project
images - 2024-01-06T095458.689.jpeg

Meru County Energy Park. Africa's first hybrid power plant

And this just in the energy sector alone!

Just because we don't post them doesn't mean they don't exist
 
Punda mwenzangu hebu tuliza huo mswambanda wako, na uwe unajaribu kusoma kwa kutulia....chanzo cha habari ni gazeti la mwananchi, wao data wamezitoa BOT ambazo zimezungumzia zaidi business volume kwa ujumla, business volume ni pamoja na thamani za bidhaa na huduma, bidhaa fulani kutokufanya vizuri haimaanishi biashara yote ni mbaya. katika habari hiyo hiyo kuna watu/wataalamu wamehojiwa na kuelezea kwa nini hali iko hivyo.....mojawapo ya sababu ni kuwa sisi tunauza sana malighafi Kenya wakati wao wanatuuzia bidhaa zilizoongezwa thamani, mfano tukiwauzia maelfu ya tani za viazi wao wanatuuzia Pringles n.k, punda mwenzangu unakuja kuleta experience ya unilever product, punda mwenzangu una akili iliyo sawa wewe.....??? By the way bila kuwa hata mtaalam wa marketing kuna bidhaa ukipeleka uswahilini haziwezi toboa......pia matumizi ya bidhaa Tanzania yanakuwa affected sana kwa ukanda, ukienda kaskazini magharibi bidhaa zinazotamba ni kutoka Uganda, ukienda kaskazini mashariki bidhaa za Kenya utazikuta kwa wingi na zinafanya vizuri tu, nyanda za juu kusini bidhaa muhimu kama sukari watu wanaamini zaidi za Zambia au Malawi....nikiwa Igunga na maeneo ya Simiyu mpaka viberiti ni Kenya hapo hujagusa nguo kama vile mashuka ya kimaasai. Mfano mwengine ni huu, wakati kiwanda cha pili kama siyo cha tatu kwa ukubwa Africa cha karatasi kipo Mgololo Tanzania, lakini mojawapo ya imports kubwa za karatasi ni kutoka Kenya, tena kichekesho ni kuwa tunawauzia karatasi ghafi wao wanatuuzia full finished papers.....kwa hiyo BOT wanapokuja na data hizo inatakiwa ukae kwa kutulia tena wewe kama mtu wa marketing and selling ndiyo unatakiwa uzisome kwa makini na kujua wapi tunapigwa gap....ila kwa sababu ni marketing officer uchwara unakuja kubwata bwata tu hapa, kwanza unaweza kuta wewe ni wale jamaa wanatembea na mafurushi ya bidhaa huku mmevaa ma tai viatu full vumbi mnasumbua tu watu kwenye mabaa, ndugu punda ile siyo marketing ule ni umachinga wa utumwa, ni bora hata machinga anayeenda kununua bidhaa zake kariakoo kuliko wewe ili uuze lazima utembeze tako lako kwa wanaume wenzio.

All in all punda chukua hii kwa uchache;
1. uwe unasoma viambatanisho i.e reference coz wengine humu hatupo kwa ajili ya porojo tu wewe kwa sababu umezaliwa mkunduni unaziita pang'ang'a 2. bidhaa si za unilever tu, tena wakati hizo zina struggle huko uswahilini ukienda top shopping centers kama vile malls na supermarkets bidhaa za Kenya zipo na price yake huwa imechangamka hivyo hununuliwa kwa large volume na wenye pesa 3. selling ya bidhaa huwa inatofautiana demographically. 4. thamani ya biashara si tu uwingi wa vitu unavyouza bali pia ni thamani ya bidhaa hiyo...na moja ya vitu vinavyotengeneza thamani ni ubora.
Kwa data nilizosoma kutoka Kenya ni kuwa ongezeko la exports zao kwa nchi za EA hasa Tanzania ni re-export ya Kerosene jet fuel ndio iliyochangia kwa kiasi kikubwa ngoja nitafute hiyo habari nilete humu.

Wacha ujinga wa kasumba! Hizo bidhaa unazotaja zinashadadiwa na nani? Kama Bidco group iko hatiani? Na kama supermarket zao zote Tanzania zilifilisika?
 
Eti ooh Kenya haina miradi mipya

Kwani hizi ni mama zenu? 😂😂
Green energy fertilizer factory

Malindi Solar power project
View attachment 2863272

Meru County Energy Park. Africa's first hybrid power plant

And this just in the energy sector alone!

Just because we don't post them doesn't mean they don't exist
Please hiv vimradi vya 3m USD usipost mkuu. Hii sio miradi yenye maana.
 
Why do you want me to overlook the $10m ambayo tumewashinda nayo while it is a statistical data?

And where did you get these $5b and $9b figures from ama hapo ndio kujiliwaza?
10m diffrence is not statistically significant to portray growth over Tanzania. It is just a blip in otherwise a healthy and growing Tanzanian exports to Kenya.
As you can see the growth was attributed to re exports of Kerosene jet fuel to Tanzania with the same product triggering growth of Kenyan exports to Saudi Arabia..
Kenyan manufactured goods most of them have disappeared from Tanzanian shelves good example siku hizi hata Royco imeadimika sana.

Back
Top Bottom