Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Empty talks as usual. 🤣🤣🤣🤣 Soma hii 👇
Pole kwa maumivu bongolala
images - 2024-01-06T132658.766.jpeg
images - 2024-01-06T132733.300.jpeg
images - 2024-01-06T132831.779.jpeg
 
Wacha ujinga wa kasumba! Hizo bidhaa unazotaja zinashadadiwa na nani? Kama Bidco group iko hatiani? Na kama supermarket zao zote Tanzania zilifilisika?
Braza wewe kwa 'calliber' yako sidhani hata kama ushawahi enda supermarket achilia mbali malls, let me tell you kwetu wengine humu ni sehemu ya ku express hobbies zetu juu ya mijadala lakini kwenu nyie na timu yako ni watu labda mpo kazini so mara nyingi huwa hamna fact, mpo so serious na matusi na kutumia maguvu. Mimi nili share habari ambayo imeandikwa na gazeti la mwananchi tarehe 4 January 2024 sasa kama huwa hamsomi then base ya arguments zenu huwa ni wapi...?? Sisi wengine Mungu katujalia kuzunguka zunguka Tz hii ndiyo maana nilimpa fact ya biashara bahati mbaya mpo so emotional guys hii ni mitandao ya kijamii hunijui wala sikujui na mimi ni kiibodi woria misiles zangu zipo kwa kiibodi
 
Attachments

  • Screenshot_2024-01-04-11-18-06-712.jpeg
    Screenshot_2024-01-04-11-18-06-712.jpeg
    275.2 KB · Views: 6
Braza wewe kwa 'calliber' yako sidhani hata kama ushawahi enda supermarket achilia mbali malls, let me tell you kwetu wengine humu ni sehemu ya ku express hobbies zetu juu ya mijadala lakini kwenu nyie na timu yako ni watu labda mpo kazini so mara nyingi huwa hamna fact, mpo so serious na matusi na kutumia maguvu. Mimi nili share habari ambayo imeandikwa na gazeti la mwananchi tarehe 4 January 2024 sasa kama huwa hamsomi then base ya arguments zenu huwa ni wapi...?? Sisi wengine Mungu katujalia kuzunguka zunguka Tz hii ndiyo maana nilimpa fact ya biashara bahati mbaya mpo so emotional guys hii ni mitandao ya kijamii hunijui wala sikujui na mimi ni kiibodi woria misiles zangu zipo kwa kiibodi
Wewe kima ka uelewa wako mdogo unadhani ni nani hajazunguka Tz humu.? 🤣🤣🤣 Binafsi sio kuzunguka tu, nimefanya kàzi za marketing kwenye mikoa isiyopungua ishirini hapa Tz, ni Mzaliwa wa Tanga mjini, nimewahi kuishi Arusha 3 years, nimesoma Mwanza 3 years, kwasasa naishi Dar es salaam na huu ni mwaka wangu wa 4 consecutive. Nimezunguka mikoa yote ya kanda ya ziwa, kaskazini, nyanda za juu kusini+ central zone.. huko kwengine kote ambako sijaishi nilipelekwa na kàzi za marketing, sasa sijui we kima utanieleza nini mimi.?
 
🤣🤣🤣🤣 Hiyo barabara ya lami ni invisible.? Unadhani unaweza kunidanganya mimi.? 👇View attachment 2863506nime zoom hiyo barabara in each and every direction sijaona section yoyote yenye Iko na lami. 🤣🤣🤣 Lamu village center itself haina lami hata moja 🤣🤣🤣🤣🤣
Google inawavua chupi leo 🤣🤣🤣
 
Thank you Tanzanian bus owners for trusting Mombasa Port. Mitumba za China are being offloaded at Mombasa Port then will cross border up to Tz, the biggest market of fake Chinese buses.

View attachment 2863420View attachment 2863422View attachment 2863423
Wameandika wapi ni tanzania bus owners
Prove these buses were ordered by Tanzanians. Usiogope kusema Kenyans bus owners are going the chinese way.
Na akikuonesha tu nitag 😅😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom