Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Narok has more beautiful malls than Arusha and Zanzibar.Yaani Hadi narok wanajenga supermarket za nguvu kuliko iyo Kijiji yenu View attachment 2863505
Narok has more beautiful malls than Arusha and Zanzibar.Yaani Hadi narok wanajenga supermarket za nguvu kuliko iyo Kijiji yenu View attachment 2863505
Na pia sasa kuna Elsewedy ya Egypt wanajenga kiwanda KigamboniMzee kwa Cables nashauri serikali iweke zuio kuagiza cables kuna kampuni nyingi asee.
Everwell Cables
Mastercool cables
Africab Cables
Daesung
TANELC
Kwa uchache. Ukizingatia tupo karibu na DRC tunaweza fanya mambo mzigo wa copper ukawa unaishia huku Bongo tufanye exports.
Ila shida hamna sera ya kuangalia hili.
Wanasubiri ukraine aache vita awaletee ngano😅😅😅😅😅
Wanasubiri saud arabia nchi yenye jangwa asilimia mia awaletee mchele na unga
View: https://twitter.com/CapitalFMKenya/status/1743522812177141800?t=UpqxMXpvti5pmVPI1EFVfw&s=19
Fanya uamuzi sasa hivi tuone bongolala🤣🤣Ivi hawa nyang'au wanatuchukuliaje?
Mnajua kwamba tuna uwezo wa kufanya kila kitu chenu huko kiporomoke tukiamua?
Kwanza onesha shamba mnazolima hizo tans mnazoexport.
Wapi mturuki?
300km road is 70% complete. This is Lapsset.
View: https://twitter.com/KenMOJA/status/1706270138729742794?s=19
Empty talks as usual. 🤣🤣🤣🤣 Soma hii 👇Mradi uliofeli?? Hivyo ndio unajiconsole?
Among the road projects in LAPSSET are the following and all are done and dusted
1. Lamu-Witu- Garden road (113km);
2. Lamu-Garissa-Moyale (530Km);
3. Isiolo-Moyale-Hawassa (505km);
4. Isiolo-Lokichar-Nadapal-Torit-Juba (700Km);
5. Isiolo – Marsabit – Moyale (505km)
Wewe endelea kujiliwaza na story za vijiweni hapo gongo la mboto
🤣🤣🤣🤣 Hiyo barabara ya lami ni invisible.? Unadhani unaweza kunidanganya mimi.? 👇View attachment 2863506nime zoom hiyo barabara in each and every direction sijaona section yoyote yenye Iko na lami. 🤣🤣🤣 Lamu village center itself haina lami hata moja 🤣🤣🤣🤣🤣
Are you serious with this SHIT? Mwaka wa ngapi huu? Na Ethiopia si kaenda Somali, Sudan si ndio juzi hapa karudisha balozi?LAPSSET alone is $29b and it's an ongoing project.
Next quiz bongolala?
300km road is 70% complete. This is Lapsset.
View: https://twitter.com/KenMOJA/status/1706270138729742794?s=19
Embu tuoneshe hizo components za LAPSSET zimefikia wapi na gharama zake tujiridhishe na pia ikikupendeza jumlishia na value ya herds of ngamia wanaopita hapo kwenye value ya mradi 😁LAPSSET alone is $29b and it's an ongoing project.
Next quiz bongolala?
Bro anaweka hadi miradi hewa 🤣🤣🤣🤣Are you serious with this SHIT? Mwaka wa ngapi huu? Na Ethiopia si kaenda Somali, Sudan si ndio jusi hapa karudisha balozi?
Tumefikia kuwekeana HEWA HUMU?
He is smoking Malawian ting.Are you serious with this SHIT? Mwaka wa ngapi huu? Na Ethiopia si kaenda Somali, Sudan si ndio jusi hapa karudisha balozi?
Tumefikia kuwekeana HEWA HUMU?
Wewe ni mpumbavu sana wewe. Huo mradi wa hizo barabara ni invisible..? Huyu fala ChoiceVariable chawa wa mama kizimkazi mwenyewe akipost miradi ya barabara picha zinaonekana gari zikichimbua chimbua. Wew jamaa vipi bhana.? 🤣🤣🤣Wachana na huyo mjinga. I have given him a list of all the road projects under LAPSSET project na urefu wao siku n kilometers. Namgonja arudi na povu round two
Tuwekee progress ya hiyo miradi yote, na uweke mradi ulifunguliwa lini.Mradi uliofeli?? Hivyo ndio unajiconsole?
Among the road projects in LAPSSET are the following and all are done and dusted
1. Lamu-Witu- Garden road (113km);
2. Lamu-Garissa-Moyale (530Km);
3. Isiolo-Moyale-Hawassa (505km);
4. Isiolo-Lokichar-Nadapal-Torit-Juba (700Km);
5. Isiolo – Marsabit – Moyale (505km)
Wewe endelea kujiliwaza na story za vijiweni hapo gongo la mboto
Wooh!Fanya uamuzi sasa hivi tuone bongolala🤣🤣
Mlishaamua kuuza viavocado zenu bila kupitia Mombasa port mkidhani mngemake a statement. Kumbe bado sana
Unadhani sisi wote tulio humu tungekua na mpini wa nchi hii, Kenya muda huu ingekua hali gani?Fanya uamuzi sasa hivi tuone bongolala🤣🤣
Mlishaamua kuuza viavocado zenu bila kupitia Mombasa port mkidhani mngemake a statement. Kumbe bado sana
We njuka kaa kwa kutulia humuVimburu kama wewe nilikuwa nawazoom tu....unaugua sonona bro....😁😁😁