Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KISUMU

1703837587014.png
 
Tz upinzani Bado hawajajipanga
We unataka wajipange vipi mkuu!? Au unataka wajipange kwa kuingia msituni?

Wamejipanga sana na wana Shauku sana ya kuwaonesha Watanzania kuwa wao ni bora sana kuliko CCM ila shida ni kwamba;watu waliopo kwenye mfumo hawataki kukubali kuwa wanatakiwa wawape watu wengine mamlaka
 
Kigoma ipo juu ya Kisumu! Kuna
1. The largest lake Port in East and Central Africa
2. Construction of electrical SGR
3. The most Morden shipyard in East and Central Africa
4. The most modern airport in the region
5. About 4 cargo and passenger ships r U/C! Aside the old being modernised!
6. A university is U/C too
7. A bus terminal U/C too..
8. Over 400 km of tarmac roads
Unaongelea the same Kigoma with no tarmac roads?
 
Back
Top Bottom