Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi light industries wangeachiwa wabongo tu wapewe kipaumbele, mbongo ataishia kuwa mkulima na mchuuzi tu, viwanda kama vya plastic, godoro, beverages, packagings na other light industries serikali ingeacha kutoa incentives kama ardhi ya bure kwa foreign investors, serikali ije na program ya kuwawezesha wawekezaji wa ndani wa ngazi ya chini kuwa level ya kati, tunakoelekea miaka 20 ijayo wabongo hawatakua na uchumi wa maana
 
Upewe kipaombele kipi unachokitaka wewe? Kuna mtu amekataza Mbongo kuwekeza? Huyu Mbongo kapewa kipaombele na Serikali? Acha fix we Jamaa.
 
Upewe kipaombele kipi unachokitaka wewe? Kuna mtu amekataza Mbongo kuwekeza? Huyu Mbongo kapewa kipaombele na Serikali? Acha fix we Jamaa.
K
Upewe kipaombele kipi unachokitaka wewe? Kuna mtu amekataza Mbongo kuwekeza? Huyu Mbongo kapewa kipaombele na Serikali? Acha fix we Jamaa.
Kumpa mchina ekari 40 za bure tena kwenye maeneo prime kisa anawekeza bil 3 ni ujinga, akanunue mwenyewe, kiwanda cha plastic ni backyard factory ni kama mradi wa kuku wa mayai kibongo bongo, hata permanently employees wanaweza wasifike 10, kahama kwenyewe na Shinyanga vipo zaidi ya viwanda vi5 vya plastic vya wazawa, TIC haijui how deep local content should have to go
 
Hapewi kama Mali yake Bali hiyo ni lease.

Mwisho Wabongo mumekatazwa kwenda TIC mkapewe?
 
Lumumba hospital zanzibar
Render 👇👇👇👇
images - 2023-12-25T232257.659.jpeg

Kitu chenyewe sasa 👇👇👇👇
 
Hizi light industries wangeachiwa wabongo tu wapewe kipaumbele, mbongo ataishia kuwa mkulima na mchuuzi tu, viwanda kama vya plastic, godoro, beverages, packagings na other light industries serikali ingeacha kutoa incentives kama ardhi ya bure kwa foreign investors, serikali ije na program ya kuwawezesha wawekezaji wa ndani wa ngazi ya chini kuwa level ya kati, tunakoelekea miaka 20 ijayo wabongo hawatakua na uchumi wa maana
Upewe kipaombele kipi unachokitaka wewe? Kuna mtu amekataza Mbongo kuwekeza? Huyu Mbongo kapewa kipaombele na Serikali? Acha fix we Jamaa.
Bakhresa alikuwa halimi ila serikali ya Magu ilimshawishi alime miwa kwa kumpa ardhi kubwa Bagamoyo na kujenga kiwanda cha sukari. Serikali inauwezo mkubwa wa kuhamashisha wananchi wake kuleta maendeleo na hivi wiwanda vya tungeweza kujenga wenyewe.
 
Swali la kizushi ni chama kipi au wanasiasa wapi wa nchi hii waliodhamiria na kujipanga kuleta hayo mabadiliko?!
Vyama vyote vya upinzani kwenye nchi hii vina hali na morali wa kuiletea Tanzania Maendeleo.......ifike hatua hiki Chama cha Mapinduzi kipumzike

Haiwezekani tunaelekea miaka 70 toka uhuru ni Chama kile kile kipo kwenye dola na bado kinafanya machafu kwenye hili taifa......Tunahitaji mawazo mbadala kutoka kwa vyama mbadala ili tuweze fanikiwa
 
Bakhresa alikuwa halimi ila serikali ya Magu ilimshawishi alime miwa kwa kumpa ardhi kubwa Bagamoyo na kujenga kiwanda cha sukari. Serikali inauwezo mkubwa wa kuhamashisha wananchi wake kuleta maendeleo na hivi wiwanda vya tungeweza kujenga wenyewe.
Sidhani kama mabank yetu na wizara ya uwekezaji inalifikiria hilo, inatakiwa tenders zote za serikali kwanza wapewe wabongo, miradi ya ujenzi chini ya billion 50 wapewe wabongo mabank yawe na program ya kuwajengea uwezo wawekezaji wadogo wafike levels za juu kwa kuwapa mikopo nafuu na upendeleo, Mchina akija kuwekeza anachukua pesa yote anaibadilisha kuwa dollars inarudi China ni tofauti na mbongo ambae ataitumia yote Tanzania, sio kila aina zote za foreign investments ni nzuri nyingine zinadrain economy hasa zile zisizokua na joint venturing na local investment

Kiwanda cha plastic hata raw materials ni imported angalau ingekua kiwanda cha processed raw materials za ndani kinakua na inclusive financial ecosystem na locals

Sio kama napinga foreign investments lakini kama mchina anaewekeza kwenye plastic wares anaweza kupewa ekari 40 za bure na serikali Mbona kuna watanzania kibao wenye hiyo mitaji ila TIC haijafanya kazi nzuri ya kutosha kuwa encourage kama wanavyotangaza investment opportunities nje ya nchi wanatakiwa kufanya hivyo pia ndani ya nchi.

Ukienda China leo na million 100 utaweza kununua kiwanda cha misumari, kiwanda cha pencils, kiwanda cha ceiling tapes ni viwanda vitatu hivi lakini ni watanzania wangapi wanajua? Ni wachache, hii ndio kazi TIC na mabank yanatakiwa kufanya.
 
Vyama vyote vya upinzani kwenye nchi hii vina hali na morali wa kuiletea Tanzania Maendeleo.......ifike hatua hiki Chama cha Mapinduzi kipumzike

Haiwezekani tunaelekea miaka 70 toka uhuru ni Chama kile kile kipo kwenye dola na bado kinafanya machafu kwenye hili taifa......Tunahitaji mawazo mbadala kutoka kwa vyama mbadala ili tuweze fanikiwa
Huo ni mtazamo wako ila kwa upande wangu mimi bado sijaona chama kilicho madhubuti imara kabisa unachoweza kukiamini kwamba kitaleta challange chaya kwa CCM. Vyama vingi havina dira hata ukisoma tu ilani zao unachoka kbs wengi ni wachumia tumbo “toka niingie mimi au nipige makelele unipoze kwa namna ile maisha yaendelee” Siasa za kiafrika figisu. Pamoja na mapungufu yake yote ila mpk sasa hakuna chama bora Tanzania kuliko Chama cha Mapinduzi, Huu ndo ukweli mchungu.
 
Bakhresa alikuwa halimi ila serikali ya Magu ilimshawishi alime miwa kwa kumpa ardhi kubwa Bagamoyo na kujenga kiwanda cha sukari. Serikali inauwezo mkubwa wa kuhamashisha wananchi wake kuleta maendeleo na hivi wiwanda vya tungeweza kujenga wenyewe.
Mda wa kubembeleza watu haupo anaetaka atafanya mwenyewe awe Mchina au mzungu au Mwarabu.

Ubembelezwe wewe kama nani?
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Hapa kwangu haya ni baadhi ya mambo ambayo yanaweza kuwa tofauti kati ya miji hii miwili:

1. Master Plan of the city - Nairobi ina mpango mkakati wa maendeleo ya mji wake na Dar es Salaam pia ina mpango wake. Kila mji una malengo yake ya maendeleo na ukuaji.
2. Current View of the city - Miji yote ina mandhari yake ya kipekee na maeneo ya kuvutia. Nairobi inajulikana kwa majengo ya kisasa na maeneo ya kijani kama vile Karura Forest. Dar es Salaam ina fukwe nzuri na mandhari ya bahari.
3. Ongoing Projects - Kuna miradi mingi ya maendeleo inayoendelea katika miji yote miwili. Hii inajumuisha ujenzi wa miundombinu, majengo, na maeneo ya burudani.
4. Future Projects proposed - Miji yote ina mipango ya miradi ya baadaye ili kuboresha miundombinu na maendeleo ya kijamii.
5. Culture and Life style - Nairobi na Dar es Salaam zina tamaduni na mitindo ya maisha tofauti. Kila mji una utamaduni wake wa kipekee na shughuli za kijamii.
6. Food availability - Vyakula na maeneo ya kupata chakula ni tofauti katika miji hiyo miwili. Kila mji una migahawa na vyakula vyake maarufu.
7. Entertainment and Funny Places - Kuna maeneo mengi ya burudani na kujifurahisha katika miji yote miwili. Kila mji una matukio na vivutio vyake vya kipekee.
8. Places to visit - Kuna maeneo mengi ya kuvutia kwa wageni katika Nairobi na Dar es Salaam. Kila mji una vivutio vyake vya kipekee kama vile mbuga za
 
Huo ni mtazamo wako ila kwa upande wangu mimi bado sijaona chama kilicho madhubuti imara kabisa unachoweza kukiamini kwamba kitaleta challange chaya kwa CCM. Vyama vingi havina dira hata ukisoma tu ilani zao unachoka kbs wengi ni wachumia tumbo “toka niingie mimi au nipige makelele unipoze kwa namna ile maisha yaendelee” Siasa za kiafrika figisu. Pamoja na mapungufu yake yote ila mpk sasa hakuna chama bora Tanzania kuliko Chama cha Mapinduzi, Huu ndo ukweli mchungu.
Mkuu wewe akili yako ni ndogo sana na nina wasiwasi itakuwa ni kada au chawa mtiifu kwa CCM........Hivi ushawahi kujiuliza miaka 62 ya uhuru lakini bado umaskini ni sehemu ya maisha ya Mtanzania na hao viongozi wa ccm wanajigamba kwa kujitapa kuwa wao ni wanyonge kama vile umaskini ni "JOHO LA UFAHARI" na wakati wengi wao wanaishi Masaki,oysterbay,Mbezi na mbweni lakini wanawalazimisha wananchi kuwa Unyonge au umaskini ni sifa ya uanadamu

Vyama vya upinzani vinaweza vikawa havina Sera bora kama Ile ya CCM ya kulinda Ujamaa lakini vikafanya mambo makubwa,kwani nchi haijengwi na Sera bali inajengwa kwa vitendo

Chadema wana Sera bora sana ambayo ata Magufuli mwenyewe aliitumia na akaleta Mapinduzi makubwa hapa nchini,hii ilipelekea kifo chake kwani wana-CCM typically waliona kama anavunja Chama

Be open-minded,ukiendelea kuamini kwenye comfort zone hatutoweza kufika kama Taifa
 
Back
Top Bottom