Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesema vyema sana,lakini ukweli ni kwamba CCM Imeharibu sana nchi hii.....

Wanawapumbaza watu wengi ujinga sana kuwa;Mtu akijiingiza kwenye mambo ya kuipinga huyo ni msaliti kwa Taifa hili.........Tunahitaji Chama kingine cha kisiasa kitakacho fanya kazi kwa sifa ili kuufuta U-ccm kwenye nchi hii...........kuwategemea watu kama Makonda,Nape,Makamba au Mwigulu waivushe hii nchi ni Ndoto za mchana
Swali la kizushi ni chama kipi au wanasiasa wapi wa nchi hii waliodhamiria na kujipanga kuleta hayo mabadiliko?!
 
wanaipaisha hii timu lkn haistahili kwa sasa. yanga ndio baba lao mtake msitake, mpira ni mchezo wa wazi, yanga inaongozwa kiulaya ulaya na inacheza kama timu ya ulaya makocha zaidi ya mmoja wamesema hivyo na hata wewe ndugu msomaji ni shahidi.
Kaka tuongee na takwimu acha longolongo mkuu. Nadhani takwimu ziko wazi na vigezo vinavyotumika ni champions league sio loosers cup mkuu 😁
 
wanaipaisha hii timu lkn haistahili kwa sasa. yanga ndio baba lao mtake msitake, mpira ni mchezo wa wazi, yanga inaongozwa kiulaya ulaya na inacheza kama timu ya ulaya makocha zaidi ya mmoja wamesema hivyo na hata wewe ndugu msomaji ni shahidi.
Mna Makelele sana wakati robo yenyewe sidhani kama mtaingia.

Simba imeibeba Ligi ya Bongo Kwa miaka 5 Sasa.
 
Back
Top Bottom