Ooh thithi ndio vinara kwenye ICT nyenyenye………😹😹
Yaani vitu tumesahau Bongo kumbe huko ni breaking news? Eti hadi LUKU nayo ni maajabu pande za Kiberaland? 😅😅
Leo nilikuwa nafanya applications za licenses kadhaa kwa biz yangu, yaani chap Brela kufanya annual returns dk 0 tayari, kuja kwenye leseni ya biashara chap kwenye TNBP, nikacheck TASAC pale chap tu Portal yao ikafanya mambo, pale TRA ndio balaa, ma-returns yote kwa portal huku unakula wine, mchawi internet tu………hizi kazi nimezifanya ndani ya masaa 4 wakati enzi zile ingenichukua miezi miwili hadi 3 kumaliza, alafu kumbe wenzetu hadi matokeo ni ya kubandika? Haki nimeumia sana, inauma
The best 007, inauma sana kaka, inabidi tuanze kampeni ya empowerment ya hawa mandezi wa EAC, tunawaacha mbali sana kwenye kila kitu😅😅