Brother kuna kitu huelewi au? Chuo ulisomea nini? Haujawahi kusoma hata somo moja la DS?
Shughuli yoyote ina athari, twakimu hazitoshi kuonesha matokeo chanya kwa chanzo (NCHI) tunaweza kua na takwimu nzuri ya uwekezaji, ila mishahara ya 6000 kwa siku kwa mfanyakazi WTF?
Na unakuta mwekezaji kapewa kibali cha kutolipa kodi muda flani.
Hapa ndio tunaogelea, tunataka uwekezaji unakua wa tija zaidi, mfano ukiweka kiwanda kinakua na High and positive Backwards, lateral and forward linkages.
Acha kelele za kisiasa, hayo matatizo ndio yanasababisha reserve ya dola iwe chini japokua miradi yetu inazidi reserve ya pesa za kigeni.
Mwisho tutaishia kua kama Wakunya, maana hamna chochote cha kunufaika hapo, ila wao kidogo wana afadhali wana Western investment kwa viwanda ni afadhali kuliko mchina wa chini na mhindi aliyetoka kudeki UAE.