Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tena wizi mkubwa sana, nashindwa kuelewa kwnn cc wananchi tunaukubali wizi, tatizo cc watz pia tumelala sn, hatupaswi kuto i challenge govt inapotokea unyonyaji wa kifala kama huu.
Umesema vyema sana,lakini ukweli ni kwamba CCM Imeharibu sana nchi hii.....

Wanawapumbaza watu wengi ujinga sana kuwa;Mtu akijiingiza kwenye mambo ya kuipinga huyo ni msaliti kwa Taifa hili.........Tunahitaji Chama kingine cha kisiasa kitakacho fanya kazi kwa sifa ili kuufuta U-ccm kwenye nchi hii...........kuwategemea watu kama Makonda,Nape,Makamba au Mwigulu waivushe hii nchi ni Ndoto za mchana
 
Ndiyo maana nikasema, tatizo lipo kwenye uwajibikaji. Kuna nchi zinaendesha mashirika ya umma vizuri kwababu ukikosea unawajibishwa. Sisi kwetu ukivurunda unahamishwa kwenda sehemu nyingine.
Kuondoa hiyo mentality mbovu vichwani mwetu itachukua muda mrefu sana wenzetu mali ya umma wanauchungu nayo maana ndio inayo guarantee welfare yao na vizazi vijavyo wako tayari wailinde hata kwa mikono yao hawacheki na kima.
 
Mmiliki ni yule anaye own majority ya stake kwenye campuni. Kwani Serikali ya China inamiliki % ya State grid?
Umiliki sio uendeshaji kwenye nchi zenye mfumo wa masoko ya hisa! Hili hulijui ndo maana unaropoka!
 
Dar es salaam Sea, Sun, Sand 😎 Welcome to Mbudya Islands, The most beautiful Island in Dar salaam.
IMG_2969.jpeg
 
Umiliki sio uendeshaji kwenye nchi zenye mfumo wa masoko ya hisa! Hili hulijui ndo maana unaropoka!
Kwani wanaoendesha hayo makampuni kiserikali ya China ni malaika, si ni raia hao hao wanaoendesha serikali na mashirika binafsi?
 
Back
Top Bottom