ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kwenye SGR serikali walishasema private sector watakuwa involved Kwenye ku operste trains zao kwenye mtandao wa serikali na hivi ndio hufanyika duniani kote.Sema nini mkuu kwenye hili suala private sector inaitajika ata wewe ukiangalia hamna shirika ata moja la serikali linalofanya kazi ya kuridhisha yote ni hasara tuu , hata hii sgr tunayotambia wasiwasi wangu mkubwa ni uendeshaji tuu, hata wewe nikikuuliza nitajie shirika hata moja la serikali linalofanya vizuri utakosa majibu sio kwa serikali hii ya ccm eti mkurugenzi akizingua shirika fulani unambadilishia kitengo ili hasipoteze kazi hatuwezi kufika aisee
Hizo nyumba ni za nini!?Mchizi aliwahi kusema kwamba huu mji hatutawahi tukiona ukiendelea kama hivi, Cc Don YF njoo huku kima wewe 🤣🤣🤣 View attachment 2850725View attachment 2850727we kima Kimbg njoo ujionee big projects vile hukaa. 🤣🤣
Lakini we huwa chizi 🤣🤣🤣🤣🤣Mchizi aliwahi kusema kwamba huu mji hatutawahi tukiona ukiendelea kama hivi, Cc Don YF njoo huku kima wewe 🤣🤣🤣 View attachment 2850725View attachment 2850727we kima Kimbg njoo ujionee big projects vile hukaa. 🤣🤣
Sasa mnakaa kwa giza hamna stima, hamna unga, mtawezana na Watanzania?Watanzania na uchizi wenu mmepeleka Wakenya wapi humu ndani!?
Lakini we huwa chizi 🤣🤣🤣🤣🤣
Konza mwakani itanyorosha huu mkebe wenu taratibu.
View: https://youtu.be/WVtqRgVs2oM?si=CSWG6dNY35MOjyUw
Kidogo itakua afadhali maana ikiwa serikali pekee yake itakua kero kweli na kama ni private sector itahusika iwe kampuni yakueleweka sio hvi vikampuni vya kupasiana vya viongoziKwenye SGR serikali walishasema private sector watakuwa involved Kwenye ku operste trains zao kwenye mtandao wa serikali na hivi ndio hufanyika duniani kote.
Do give us the value sir. Less yapping, more facts.Kumbe humu ndani tunabishana na machizi 700M kweli hii ndio value ya Tanzania LNG? Yani hata Rostam angeweza kuwekeza kama value ingekuwa hivyo this is Tanzania my friend the giant of East Africa.
Yes they do na wamegawanya kwenye generation, transmission and distribution both private and state companies are involved
Kiingereza kingi gizani 🤣🤣🤣Sasa mnakaa kwa giza hamna stima, hamna unga, mtawezana na Watanzania?
Mkuu serikali huwa haiwezi kufanya biashara poppte pale duniani na hakuna ufanisi wowote utakaopatikana kama kila siku mtakuwa mnabadilisha viongozi kutoka sehemu moja walipoharibu na kuwapeleka kwingine wakaharibu. Mtu akiharibu anatakiwa afukuzwe kazi ashitakiwe je sheria zetu za ajira zinaruhusu hivyo?View attachment 2851492
China hata baada ya reform ya nishati ya umeme ya 1986, bado private sector (blue) ni kidogo sana kulingana na serikali, tena iko kwenye generation tuu (siyo usambazaji).
Huu ni mfumo ambao Tanzania pia tunautumia, ambapo production kwenye private sector inaruhusiwa (m.f IPTL) ila distribution/transmission ni TANESCO tuu, na hii ni kwa sababu ya ulinzi wa nchi.
Tatizo letu la ufanisi mbovu siyo kukosa compettion bali the lack of seriousness, tunachekeana sana.
In 2012 when we had 15TCF the value was 150bn dollars now we have 57TCF and gas prices have gone up now do the maths yourself.Do give us the value sir. Less yapping, more facts.
You can easily notice that cause Nairobi is too small buildings concentrated in one small area unlike Dar is huge and you cant get a shot that can show you even a tenth of Dar.Hapo ni kilimani, Nairobi yote kuna high-rise apartment construction boom 🏗️ 💥💥💥 that's the biggest thing happening now 🕺
I understand 80%of Dar is uswazi,let's talk the truth hereYou can easily notice that cause Nairobi is too small buildings concentrated in one small area unlike Dar is huge and you cant get a shot that can show you even a tenth of Dar.
Kabisa mkuu haitakiwi kabisa na tusiruhusu siku wahuni watuchezee kwenye mambo ya msingi kama haya.distribution/transmission ni TANESCO tuu, na hii ni kwa sababu ya ulinzi wa nchi.