Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio unavyodanganywa na stori za Vijiweni? Hat Mo aliomba mwenyewe Ardhi Kwa Jiwe baada ya kukuta anazungushwa na TIC.

sme.png

Key facts on China SME financing
Usione vyaelea vimeundwa, hao wachina anaokuja kuwekeza Bongo wamewezeshwa na serikali yao. Nyinyi washamba wa maendeleo mnataka kufanya uchuuzi tuu.
 
Mkuu wewe akili yako ni ndogo sana na nina wasiwasi itakuwa ni kada au chawa mtiifu kwa CCM........Hivi ushawahi kujiuliza miaka 62 ya uhuru lakini bado umaskini ni sehemu ya maisha ya Mtanzania na hao viongozi wa ccm wanajigamba kwa kujitapa kuwa wao ni wanyonge kama vile umaskini ni "JOHO LA UFAHARI" na wakati wengi wao wanaishi Masaki,oysterbay,Mbezi na mbweni lakini wanawalazimisha wananchi kuwa Unyonge au umaskini ni sifa ya uanadamu

Vyama vya upinzani vinaweza vikawa havina Sera bora kama Ile ya CCM ya kulinda Ujamaa lakini vikafanya mambo makubwa,kwani nchi haijengwi na Sera bali inajengwa kwa vitendo

Chadema wana Sera bora sana ambayo ata Magufuli mwenyewe aliitumia na akaleta Mapinduzi makubwa hapa nchini,hii ilipelekea kifo chake kwani wana-CCM typically waliona kama anavunja Chama

Be open-minded,ukiendelea kuamini kwenye comfort zone hatutoweza kufika kama Taifa
Mkuu ndo shida ya nyie mashabiki wa vyama vya siasa kindakindaki huwa mnakuwa na upofu. Hamna tofauti na waamini wa dini flani.
 
Kweli Tanzania wanajaribu mambo kadha, ambayo nyingi pia ni ya mkopo ambao miaka mitano ijayo itakuwa ikiwasumbua. Kenya sahi ipo hapo tayari. Tanzanian wakifika pale, Kenya nayo itakuwa ikifanya makubwa zaidi. Ila kwa miji, Dar kweli ipo nyuma sana ukilinganisha na Nairobi. Mbali tena sana. Tazama hapa halafu uiweke Dar kwenye Taswira

View: https://youtu.be/cw9AeLtdH0M?si=OmAjkF_uEDrxudVo
 
Punguza lawama na malalamiko yasiyo na msingi, uwezeshaji sio lazima pesa au Ardhi hata sheria.

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1739530521229643831?t=YZqZoO9CRDBsQtFuqN_cAA&s=19

TIC ni tasisi isio na vision wala mission yoyote kuhusu locals, hakuna taifa duniani limeendelea bila ushiriki madhubuti wa locals na hakuna nchi duniani inayojielewa isiotoa kipaumbele kwa raia wake kwanza, of course zipo kind of investments lazima zitoke nje na hapa hatukatai foreign investments bali hiyo momentum iende sambamba na local empowerment

Hata ukiengalia logo ya TIC imekaa kama lengo lake ni kushughulika na wazungu au weupe tu, angalia rangi ya hiyo mikono, ni kitu kinaweza kuwa kidogo au cha kijinga lakini ni aibu

images (22).jpeg
 
View attachment 2853461
Una uhakika?
 
Kweli Tanzania wanajaribu mambo kadha, ambayo nyingi pia ni ya mkopo ambao miaka mitano ijayo itakuwa ikiwasumbua. Kenya sahi ipo hapo tayari. Tanzanian wakifika pale, Kenya nayo itakuwa ikifanya makubwa zaidi. Ila kwa miji, Dar kweli ipo nyuma sana ukilinganisha na Nairobi. Mbali tena sana. Tazama hapa halafu uiweke Dar kwenye Taswira

View: https://youtu.be/cw9AeLtdH0M?si=OmAjkF_uEDrxudVo

Unachoshindwa kuelewa ni kuwa national income in Tz is expanding while in Kenya ina shrink.
We can afford to pay our loans and mind you our loan to GDP ratio is still very small we can continue to borrow at the same rate for another 30 years without significant economic expansion to be where you guys are at the moment.
 
Punguza lawama na malalamiko yasiyo na msingi, uwezeshaji sio lazima pesa au Ardhi hata sheria.

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1739530521229643831?t=YZqZoO9CRDBsQtFuqN_cAA&s=19

chongchung ameelezea vizuri hapo juu, kwa kusema, kama nguvu ya kufanya uchuuzi ingetumika kujiwezesha wenyewe tungekuwa mbali sana. Faida za uchumi wa kujiendesha wenyewe ni nyingi mno, pesa yote inabaki nchini.

Moja ya sababu kubwa ya jamii za kiasia Tanzania kufanikiwa ni kwasababu pesa inazunguka ndani ya jamii mara kadhaa kabla ya kutoka nje. Wayahudi kwa mfano, pesa zao huwa zinazunguka zaidi ya mara 8 kabla ya kutoka, kuhakikisha kila myahudi anafaidika. Sisi waswahili pesa kidogo tuliyonayo badala ya kuizungusha haraka haraka tunaitoa nje ya nchi yetu, eti tunafungua nchi.
 
heheheheee nakuhakikishia soon utakosa cha kuongea kama wakenya humu, tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naomba turudie mjadala huu hapa timu zetu zikifika robo fainali champions league. Kama timu yako haitakuwepo kwenye quarter finals mjadala tunaufunga rasmi 😁
 
chongchung ameelezea vizuri hapo juu, kwa kusema, kama nguvu ya kufanya uchuuzi ingetumika kujiwezesha wenyewe tungekuwa mbali sana. Faida za uchumi wa kujiendesha wenyewe ni nyingi mno, pesa yote inabaki nchini.

Moja ya sababu kubwa ya jamii za kiasia Tanzania kufanikiwa ni kwasababu pesa inazunguka ndani ya jamii mara kadhaa kabla ya kutoka nje. Wayahudi kwa mfano, pesa zao huwa zinazunguka zaidi ya mara 8 kabla ya kutoka, kuhakikisha kila myahudi anafaidika. Sisi waswahili pesa kidogo tuliyonayo badala ya kuizungusha haraka haraka tunaitoa nje ya nchi yetu, eti tunafungua nchi.
Chato mumefikiwa na Mama 😁😁

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1739571016584556934?t=3E-D5FP-tQ7EZqjxzxEqYw&s=19
 
Back
Top Bottom