Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu wa rufiji hydropower uendane na kuondoa kabisa shida ya kukatika kwa umeme na vilele kupunguza gharama ya malipo ya umeme kwa kuondoa vitozo vyote vya kutuibia wananchi,imagine kila unaponunua umeme mara ya kwanza kwanza kwa mwezi unakatwa elfu 4.5,huu ni wizi wa serikali dhidi ya wananchi
tena wizi mkubwa sana, nashindwa kuelewa kwnn cc wananchi tunaukubali wizi, tatizo cc watz pia tumelala sn, hatupaswi kuto i challenge govt inapotokea unyonyaji wa kifala kama huu.
 
In 2012 when we had 15TCF the value was 150bn dollars now we have 57TCF and gas prices have gone up now do the maths yourself.
This was according to WB.

Simple, I'm opening a thread on that $30B terminal then we'll see who'll be vindicated as time goes because y'all seem to have your heads up your asses.
 
Sema nini mkuu kwenye hili suala private sector inaitajika ata wewe ukiangalia hamna shirika ata moja la serikali linalofanya kazi ya kuridhisha yote ni hasara tuu , hata hii sgr tunayotambia wasiwasi wangu mkubwa ni uendeshaji tuu, hata wewe nikikuuliza nitajie shirika hata moja la serikali linalofanya vizuri utakosa majibu sio kwa serikali hii ya ccm eti mkurugenzi akizingua shirika fulani unambadilishia kitengo ili hasipoteze kazi hatuwezi kufika aisee
Ndio mnaanzaga hivi. Mara paap nchi nzima inabinafsishwa tunakuwa Kenya. Mshindwe!
 
Mkuu serikali huwa haiwezi kufanya biashara poppte pale duniani na hakuna ufanisi wowote utakaopatikana kama kila siku mtakuwa mnabadilisha viongozi kutoka sehemu moja walipoharibu na kuwapeleka kwingine wakaharibu. Mtu akiharibu anatakiwa afukuzwe kazi ashitakiwe je sheria zetu za ajira zinaruhusu hivyo?
Hivi dhana ya serikali kutoweza fanya biashara inatoka wapi? Kwani serikali ni mdudu gani kama siyo watu?

Wamagharibi wanapotumia kauli ya kutenga biashara na serikali ni utamaduni tuu unaoendana na maisha yao ya individualism, siyo kwamba ni gospel na sisi tufuate.

Tuna mifano chungu mzima ya makampuni ya kiserikali yanayofanya vizuri sana; Gazprom, SGCC, CNPC, CSCEC, China petroleum corporation etc
 
serikali haifanyi biashara ila inaweza kumiliki kampuni kwa njia ya shareholding! Hizo kampuni za kichina serikali yao ina stake! Haihusiki kwenye uendeshaji! Usichanganye madesa!
 
serikali haifanyi biashara ila inaweza kumiliki kampuni kwa njia ya shareholding! Hizo kampuni za kichina serikali yao ina stake! Haihusiki kwenye uendeshaji! Usichanganye madesa!
Ni watu ndiyo wanaoendesha biashara, mmiliki awe serikali au watu binafsi.
 
Ni watu ndiyo wanaoendesha biashara, mmiliki awe serikali au watu binafsi.
Wachina hawafanyi hivyo sasa! North Korea ndo wanafanya unachotaka! Hata Gazprom haiko hivyo usiropoke wakati una Internet! Tumia Google...! Gazprom na hizo Chinese companies ziko listed!
 
Hivi dhana ya serikali kutoweza fanya biashara inatoka wapi? Kwani serikali ni mdudu gani kama siyo watu?

Wamagharibi wanapotumia kauli ya kutenga biashara na serikali ni utamaduni tuu unaoendana na maisha yao ya individualism, siyo kwamba ni gospel na sisi tufuate.

Tuna mifano chungu mzima ya makampuni ya kiserikali yanayofanya vizuri sana; Gazprom, SGCC, CNPC, CSCEC, China petroleum corporation etc
Mkuu mali ya serikali ni ya umma hata ukiwa na watu bado perception yao ni kuwa hela za umma hazina uchungu kula ama kupotea ila private sector every cent counts. Maana if I loose na loose kama mimi individual ila serikali tunaona ina mahela mengi haiwezi kufilisika hence viongozi hawana uchungu na hela ya umma
 
Watanzania na uchizi wenu mmepeleka Wakenya wapi humu ndani!?
wakenya wamekimbizwa na kasi ya maendeleo ya tz, kila tulichoahidiwa kimefanyika na bado vingine vya ziada, on the other hand kwenu hali ni tete na kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya zaidi ya jana, so ni lazima mkimbie na tuliwaambia mtakimbia nyote na kutuacha pekeetu humu.
 
1703449011374.jpg
1703448492055.jpg
1703447903505.jpg
1703448205302.jpg
 
Mkuu mali ya serikali ni ya umma hata ukiwa na watu bado perception yao ni kuwa hela za umma hazina uchungu kula ama kupotea ila private sector every cent counts. Maana if I loose na loose kama mimi individual ila serikali tunaona ina mahela mengi haiwezi kufilisika hence viongozi hawana uchungu na hela ya umma
Ndiyo maana nikasema, tatizo lipo kwenye uwajibikaji. Kuna nchi zinaendesha mashirika ya umma vizuri kwababu ukikosea unawajibishwa. Sisi kwetu ukivurunda unahamishwa kwenda sehemu nyingine.
 
Wachina hawafanyi hivyo sasa! North Korea ndo wanafanya unachotaka! Hata Gazprom haiko hivyo usiropoke wakati una Internet! Tumia Google...! Gazprom na hizo Chinese companies ziko listed!
Mmiliki ni yule anaye own majority ya stake kwenye kampuni. Kwani Serikali ya China inamiliki % ya State grid?
 
Back
Top Bottom