Kwanza, jifunze kitu kinaitwa "the best practice".Tembea duniani uone mashirika ya umeme yanavyo operate ndio utajua kuwa huu mfumo wa Tanesco haufai hata kidogo. Umeme upo kila sehemu lakini gharama za kunganisha ni kubwa people cant afford pia neglect ya transmission ndio chanzo kikubwa cha ufanisi mdogo umeme mwingi unapotea kwenye transmission.
Unapo unbundled not necessarily production na transmission wachukue private sector bali kwenye distribution tunaweza tuka invite private sector na Tanesco wawepo pia ili kuleta ushindani wakawa wanagombania wateja kwa kuprovide low tarrifs na hata kufungiwa umeme bure.
The best practice inayooperate kwako, kwangu inaweza isifanikiwe na inaweza ikawa ni mbovu zaidi (ineffective).. pili, umeenda mbali sana, eti duniani. Angalia kwa majiran hio ya the best practice ya "huko duniani", kwa jiran imefanikiwa?